Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hapa kanuni ni nini,hii habari ya kusema tunazo mingi....,sjui tuko juu ni upuuzi.

Akiweka hata picha ya kanisa,tuma picha ya kanisa nzuri ya kwenu.
ukiona anaanzisha porojo ujue hawana ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mumbai maisha marahisi
 
Nilichogundua wakenya wanaushamba wa kuishi magorofani(flats) kitu ambacho watz hatupendi so kwetu ni bora kujenga nyumba yako hata kama kiwanja chako hakijawa surveyed. We like privacy and enough space for ourselves.
 
Sisi tumejenga majumba Dar na vijijini kwetu tunapoenda kila mwaka kusalimia. Yaani ufanye kazi miaka zaidi ya 30 ukiwa umepanga??? That is not an excuse ila dalili ya maisha magumu.
 
Nyumba zote hadi benki wanazitambua na tunazitumia kupata loads of cash from banks as loans.
 
Inchi za Ujamaa Africa ni Burr kabisa Unaleta ujamaa kwa MTANZANIA Mzembe then you expect they develop[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo ujamaa ndo umefanya tunamiliki nyumba zetu wenyewe Dar es Salaam badala ya kupanga kama nyie
 
Uwe mkweli ardhi Kenya ni ya watu Fulani,wao hujenga na kupangishia nyinyi masikini.

Wacha kuzunguka zunguka.
Hii inaitwa feudalism ilikuepo ulaya miaka mia sita iliyopita[emoji1]
 
Nilichogundua wakenya wanaushamba wa kuishi magorofani(flats) kitu ambacho watz hatupendi so kwetu ni bora kujenga nyumba yako hata kama kiwanja chako hakijawa surveyed. We like privacy and enough space for ourselves.
Let me correct you why we like apartments ama flats, imagine how much income you get in a month for building such things, typically you can cash in on average about kes.400,000/ Tzs.8.4m from them by buidling on a 50 X 100 plot, wewe ukiishi kwa your own compound for me ill build on my own that flat, who do you think financially will do well?
 
It's ok for owners but bad for me as a tenant. Ndio maana sisi hujenga zetu ili kukimbia hizo kodi za kupanga. Wangap kenya wanauwezo wa kujenga flats Nairobi???
 
Huo ujamaa ndo umefanya tunamiliki nyumba zetu wenyewe Dar es Salaam badala ya kupanga kama nyie
Nani alikudanganya Kenya kila mtu anapanga... Kupanga ni mjini pekee nahata huko bado sio kila mtu kupanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ