Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe uko level za leader wako in capitalist??

Unajua nicxie una akili za hovyo sana wewe.
Aliye na akili hovyo ni wewe unadhani mko level moja na China simply because both countries are socialist countries. Kama China ilitumia mfumo wa ujamaa kujistawisha nyinyi mnangoja mpigiwe filimbi ndo mujue mnafaa kuendeleza nchi yenu? Yani miaka hamsini tangu mpate uhuru bado mko nchi ldc halafu unaona ujamaa imewafaidi kitu!! Nyinyi ni shenzi type kabisa
 
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
 
Sasa unanikasirikia mimi???

Kwahiyo nawewe ni mzembe kwa kushindwa kuwa millionaire katika mfumo survival of the fitest??? Na bado umewaka mtu yangu.

Hata ground hapo Kenya imekushinda.
 
kwa hiyo nchi zote zilizo na ujamaa ni maskini.....?...

stupid reason
 
Tatizo ulikomaa kusema hatuwezi lipa,ndio ukaulizwa kwa ubora gani zilipishwe kodi nyingi mpaka itushinde.

Hizo ni upuuzi kabisa.hakuna mtz atang'ang'ana hapo.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo hakuwa bright .....na hata hakuwa na msaada wowote wakidiplomacy kwa bara la africa zaidi yakufuga ndevu zake chafu nakukumbatia wazungu....no great history revolution in africa for him......

nothing........but R.I.P
So ju WENYU alikuwa Bright saaaaana why are You still an LDC country?? Huyu Mandevu unaona hapa na mwenzake ndio wamefanya Kenya na Ethiopia kuwa Great and what did yours do? Na hizo akilizake zote za ujamaa?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenyatta and Haile Selassie are
Greater... That's why sisi ndio KUSEMA hii East Africa both are greatly recognized in The World Infact Emperor Selassie is 100 time more greater that Nyerere*** Tz Mlilaaniwa kitambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[HASHTAG]#HARAMBEE[/HASHTAG] 4 LIFE
 
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
Hilo ni swali la kijinga sana! Kwani umesikia huku watu wanaishi juu ya miti ndo uulize idadi ya walio na uwezo wa kujenga nyumba? Halafu sio uwongo; kenya has more millionaires than Tanzania. In fact Nairobi alone has morw millionaires than Tanzania combined
 
Enda shule ufute ujinga.
 
Kwanza Germany itself is a failure in History so hio ndio path walifuata mbaka waleo
 
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
kumbe tunaongea na wakuja yaani wale wa bush waliotoroka kwao kama wakimbizi nakukimbilia nairobi.....
nimegundua kitu kuwa mara nyingi wakuja lszima aisifie sehemu ambayo hajazaliwa sababu alikotoka na alipo ni mazinhira mawili tofauti..... yaani from ushago to town....

hapa twahitaji wazawa wa nairobi hawa wakuja ni vituko...tu umegundua hiko kitu
 
kumbe tunaongea na wakuja yaani wale wa bush waliotoroka kwao kama wakimbizi nakukimbilia nairobi.....
nimegundua kitu kuwa mara nyingi wakuja lazima aisifie sehemu ambayo hajazaliwa sababu alikotoka na alipo ni mazingira mawili tofauti...shida na njaa zimetawala.... yaani from ushago to town....

hapa twahitaji wazawa wa nairobi hawa wakuja ni vituko...tu
 
Swali la kijinga ila limekushinda kujibu.

Kumbe inawezekana millionaire wa kikenya ni wa namna tofauti kabisa duniani.
 
Inchi za Ujamaa Africa ni Burr kabisa Unaleta ujamaa kwa MTANZANIA Mzembe then you expect they develop[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyumba nzuri kijijini kwenu umejenga, na umepanga hapo tao!!!!!!

So hapo Kenya wenye uwezo wa kujenga ni watu wangapi???maana huwa mnasema mko na 7000 millionaires, au wote hawa ni Wa mapambo??
Nairobi huitaji kujenga mostly people buy Properties alafu they settle there
 
Sasa unanikasirikia mimi???

Kwahiyo nawewe ni mzembe kwa kushindwa kuwa millionaire katika mfumo survival of the fitest??? Na bado umewaka mtu yangu.

Hata ground hapo Kenya imekushinda.
Sasa ju nyinyi mko ujamaa? Why are you not all like Diamond?... Kazi yenyu ni kumsifu huku mnaishi nyote Kama ngurue
 
Nairobi huitaji kujenga mostly people buy Properties alafu they settle there
Mwenzako alisema Nairobi si rahisi kununua plot ujenge that why mumepanga.sio shilingi mbili kama dar.

Sasa nikiangalia idadi ya apartment kuanzia huko Karen mpaka korogocho napata wasiwasi idadi ya wenye nyumba binafsi hata za kununua.
 
Swali la kijinga ila limekushinda kujibu.

Kumbe inawezekana millionaire wa kikenya ni wa namna tofauti kabisa duniani.
Nikishakuambia watu wako na nyumba vijijini kwao mbona tena tena unaniuliza idadi ya walio na uwezo wa kujenga nyumba? Kwani hizo nyumba zilishuka kutoka mbinguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…