tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Sijaona nairobi apo...kwani wao wamekosea wapi



world class city according to Kenyans standardSijaona nairobi apo...kwani wao wamekosea wapi



world class city according to Kenyans standardHamwezi compete na nai man..enyewe dar imedevelop but hamtawai fikia nai man..mlichelewaUlitaka tufanane Au
Unajiongelesha kijana...Dubai ya mwaka 2001 sio Dubai ya leo ambayo Dubai nzima wanaiongelea ....effort ndio kila kitu...miji mingapi ilikua mbele ya Dar? Sahivi macho kwa Dar ambayo zaman ilikua sio kitu? Dar will be the best braza Nairobi itabaki jina tuHamwezi compete na nai man..enyewe dar imedevelop but hamtawai fikia nai man..mlichelewa
Iyo jengo si refu man....sasa hi ya eldoret in 26 floors utacompare na hiyo..na hii ilishajengwa
Miaka ya juzi tu hata kampala ilitusumbua sahvi iko wapi? Nani anaizungumzia Kampala tena? Angalia namna Dar inavyokua inachukua kasi Ndio utaelewa wapi tunaelekeaHamwezi compete na nai man..enyewe dar imedevelop but hamtawai fikia nai man..mlichelewa
Dubai walipata bahati ya oil man..iyo yao ni special case..unajua mkigrow at 7% Kenya pia inagrow at 7% si ati tumesimamaUnajiongelesha kijana...Dubai ya mwaka 2001 sio Dubai ya leo ambayo Dubai nzima wanaiongelea ....effort ndio kila kitu...miji mingapi ilikua mbele ya Dar? Sahivi macho kwa Dar ambayo zaman ilikua sio kitu? Dar will be the best braza Nairobi itabaki jina tu
Kasi ya ukuaji tuko mbele yenu...ilo nalo unabisha?Dubai walipata bahati ya oil man..iyo yao ni special case..unajua mkigrow at 7% Kenya pia inagrow at 7% si ati tumesimama
Dar inakua kiaje...kujenga towers mbili ni kukua...ukiona kuattract investors ata Kigali inawachapa...yani kukua kwenu ni serikali kujenga towers mbili...Nairobi mega towers,hotels etc present & under construction ni kibao kushinda izo zenu..sasa jameni mtashikaje naiMiaka ya juzi tu hata kampala ilitusumbua sahvi iko wapi? Nani anaizungumzia Kampala tena? Angalia namna Dar inavyokua inachukua kasi Ndio utaelewa wapi tunaelekea
Tuma ya dar specific na nitume ya nai...najua ni kwa population tu ndio mko na kasi..kwa economy ziiiiKasi ya ukuaji tuko mbele yenu...ilo nalo unabisha?
Ushirikiano ki2 mzuri...ushirikiano mzuri kabsa itakua na kenyaTANZANIA NA UGANDA ZAKUBALIANA KUSHIRIKIANA
Tanzania na Uganda zimefungua sura mpya ya ushirikiano baada ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi hizo kusaini nyaraka inayoainisha maeneo mbalimbali ambayo nchi hizo zimekubali kushirikiana kwa pamoja ili kuinua uchumi wa mataifa yao.
Nyaraka hiyo iliyosainiwa leo jijini Arusha imetokana na Kikao cha Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Uganda kilichofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 03 Aprili 2017.
"Makubaliano haya yataongeza chachu ya uhusiano na ushirikiano wetu na Uganda, japokuwa tulichelewa kufanya kikao cha JPC tokea mkataba uliposainiwa mwaka 2007 nchini Uganda". Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga alisema alipokuwa akisoma hotuba ya kufunga.
MICHUZI BLOG: TANZANIA NA UGANDA ZAKUBALIANA KUSHIRIKIANA
View attachment 491876 View attachment 491877 View attachment 491878 View attachment 491879
Sasa uko outtopic tena si ulikua mwanza sai...we Anal uko na shidaKwikwikwikwi!!! Sasa hivi mnasoma namba. Dar ndiyo inang'oa nanga hivyo. Bye Nairobi!!! Kwikwikwikwi.
Dayna Nyange ameshinda tuzo mbili nchini NigeriaSasa uko outtopic tena si ulikua mwanza sai...we Anal uko na shida
Ety slum probability yangu kuishi slum ni 0.4 yako ni 0.7...so at 0.05 level of significance ur likely to be in a slumSoma kwanza acha kurupuka kama unatoka kibera slum.
Nation Center CBD Nairobi
![]()
Acha kuzingua kijana,vitu vya msingi vilivyokatika plan ni brt phase 2,3.daraja kutoka oysterbay hadi aghakhan km7 juu ya bahari...kutengeneza rings road za kuzunguka mji,muhimbil mloganzila iko tayari,electric train ambayo itaanza soon,umeme wa uhakika kinyerezi 2 and 3 vituo cha kufua umeme wa gas asilia, real estates inakua kwa kasi viwanda nje ya mji na nkDar inakua kiaje...kujenga towers mbili ni kukua...ukiona kuattract investors ata Kigali inawachapa...yani kukua kwenu ni serikali kujenga towers mbili...Nairobi mega towers,hotels etc present & under construction ni kibao kushinda izo zenu..sasa jameni mtashikaje nai