Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkataa kwao ni mtumwa.

Hataki nyumbani kwao,anapakimbia,hapakubali jamani.
Hakuna watumwa kuwaliko nyinyi ambao wanakataa kila picha ya Dar inayoletwa hapa ndani. Mumepumbazwa na uzalendo za kijinga wakati mji wenu umejaa changaduo left right and center
 
Hakuna watumwa kuwaliko nyinyi ambao wanakataa kila picha ya Dar inayoletwa hapa ndani. Mumepumbazwa na uzalendo za kijinga wakati mji wenu umejaa changaduo left right and center
heheh tumeingia kwenye mada ya changudoa sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kayole slum tushamaliza
 
Hakuna watumwa kuwaliko nyinyi ambao wanakataa kila picha ya Dar inayoletwa hapa ndani. Mumepumbazwa na uzalendo za kijinga wakati mji wenu umejaa changaduo left right and center
Pole kwa hasira.

Hivi nairobi yote wananchi wanaoishi katka hizo estate ni wangapi kwa makadilio???
 
kazi imeanza sasa asante majaliwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


uwanja wenyewe utakua hvi baada ya ujenzi
 
Lips Baggy Ana Boo... Aty show USA? [emoji23] [emoji23] [emoji23] HIO NI MIUJIZA TZ.. Sisi hio tuliachia ma DJ Kama kalonje sio wasanii na usisahau sauti soul
 
kayole nairobi

kayole hioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
We Usitudanganye hapo ni kayole Tunajua Nairobi VIZURI.. UNATHANI rent ya kayole UNAEZA afford na Hio Tsh500000 yako ya KUNUNUA peremende
 
Tumia akili ww. azam tv walikuwa wanaonyesha 3D printer zinazotengenezwa na ma engineer wa kibongo. Smh
Hio azam ndio sijui ni nini aky... mara naskia ni Energy drink Ohh sijui ni Tv mara Ohh ni dish Ohh ni Yatch[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena naskia UMEKUA Printer [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
It is clear watu hawajui Nairobi hata kidogo wanaongea KWA Tv wanathani wamefika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huruma 4 example ni place imejaa flats How comes
Mtu anapost PICHA za mabati hapo aty ni slum na rent hawawezani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dogo una kiswahili kibovu na umeng'ang'ana kuandika notes.embu acha umaamuma.

Kwani ni uongo kwamba Nairobi inasifika duniani kwa slums???au hili nalo mpaka kuona kwa TV??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…