Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama London mazee hapo ni mambo mbayaa.......
Hapana....hapo ni Nairobi. Sisi hatuna tabia za kibongo za kuita maeneo majina yasiyo ya msingi sijui Paris, mara ooh Dubai, Mara London wakati mji umechanika na kuchoka kizee
 
WAKENYA WACHENI MAMBO YAKIJINGA yaani huu uchafu mlionao ndiyo mnajifananisha na DAR kweli......sijawahi kuyaona mazingira machafu na chakavu kama haya aisee
NAIROBI SWEET CITY CLASSIC CITY KIUKWELI MPO VIZURI

AT NAIROBI ESTATE STREET

KAMA CLASSIC CITY ZIPO HIVI BASI NAIROBI NO.1

ILOVE NAIROBEE[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hapana....hapo ni Nairobi. Sisi hatuna tabia za kibongo za kuita maeneo majina yasiyo ya msingi sijui Paris, mara ooh Dubai, Mara London wakati mji umechanika na kuchoka kizee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sema nairobi ni noma sana......
 
KAYOLE NAIROBI [emoji2] [emoji2]

wakenya mnavituko sana tizama jinsi mazingira yalivyo hovyo...nyumba mbaya chakavu
 
Wewe ni kilaza sana....sasa kutuwekea screenshot ya desktop ndo kumaanisha nini? Nimekwambia huko kayole huwezi afford kulipa hata rent ya bedsitter. Endelea kujipa moyo na kuiita slum
hii ni nini πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hzi ndio bedsitter
wewe unachekesha sana aisee
 
mm situmii matatu i was using my cousin car and not matatu sijawah panda hio matatu zimejaa kunguni
Ni sawa haina shida....kongole kwa cousin yako kukimbia uchichole wa Dar na kukuja Nairobi, jiji kuu la Africa mashariki. Naamini hiyo gari ilitumia njia wala haikupaa angani. Bado nakuuliza, ulitumia barabara gani kutoka juja kuja mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…