Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

katika picha zoote ulizokuwa umezituma hii ndiyo kidogo ipo gud nimeipenda chukus 5
Sema tu umezikubali zote. Moyo inakubali lakini ulimi inakataa. Hiyo Boma huwezi hata linganisha na Sarova Stanley ama hata Radison Blue. Hapo sijataja Kempinsky au Sankara. Iko chini ya hizo zote in terms of luxury
 
hii wewe huikubali sea cliff
 
so aliposema zote 30 alikua na maana gani??πŸ˜€
and mimi kuna kitu hapa kinanitatiza
View attachment 783947
Wachana na habari za sijui 2016 picha nishaa kuekea ya izo aparment block zoom alafu uhesabu floors saa zingine unapenda kubishana kijinga, initial plan ya apartments ilikua 24,24,25,28 sasa ivi lile jengo fupi ambalo lime topout liko 30-31floors na mengine yanaendelea kupanda. .. .saa zingine si poa kubishana kijinga
 
yani leo nimecheka sana kwamba avic majengo yote over 30 basi wacha tusubiriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nairobi walker ni noma kazipeperusha hotel zote za kenya nakuzipa 5* makofi kwake jamani[emoji112] [emoji112]

19 five star hotels in nairobi[emoji2] [emoji2]
 
yani leo nimecheka sana kwamba avic majengo yote over 30 basi wacha tusubiriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Office liko 22-23flrs hapo, la hotel liko 13flrs hapo so ni aparments tu ndio kwa sasa ziko 30flrs
 
Office liko 22-23flrs hapo, la hotel liko 13flrs hapo so ni aparments tu ndio kwa sasa ziko 30flrs
so aliposema majengo yote ni over 30 alikua na maana gani??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
so aliposema majengo yote ni over 30 alikua na maana gani??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wacha kumponda pengine alikuwa anamaanisha juu la ofisi linafaa kufika initial 42 flrs na la hoteli 35flrs yote majengo sita Yatakua over 35flrs.
 
Wacha kumponda pengine alikuwa anamaanisha juu la ofisi linafaa kufika initial 42 flrs na la hoteli 35flrs yote majengo sita Yatakua over 35flrs.
kasema majengo yote ya avic ni over 30 kwann nimsingizie πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwan tunaushindani wakijinga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…