Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sisi hatutaki udanganyifu wa picha na hatunaga habari hata tukipiga jengo picha kwa simu ya itel iliyo local tunakul
Tunaweza kuwa na vituko lakini hazifikii vituko za hong kong hotel hehehe
sisi hatutaki udanganyifu wa picha na hatunaga habari hata tukipiga jengo picha kwa simu ya itel iliyo local tunakulsisi hatutaki udanganyifu wa picha na hatunaga habari hata tukipiga jengo picha kwa simu ya itel iliyo local tunakuletea picha
 
These are not even earial photos kijana, hizi ni horizontal photos. Nilichotaka ulete ni picha za anga kama hiyo ya temeke. Hizo picha mbili za mwisho zinaonyesha tu barabara, sio eneo la makazi
whats the use of aerial view???
 
umeumia sana hehehe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ every one own his house hakuna watu kukodisha nyumba kwenye estates
Wewe ni bongolala kweli tena mwehu mkubwa sana! Hizo ni vitu vya kusifia kweli? Yani you could not see the satire in my statement! How pathetic!!!!
 
nimecheka sasa kwamba wakalilie chooniπŸ˜€πŸ˜€
Boss, inategemea msomaji ameegemea upande upi coz list yenyewe hii hapa...

5 Star Hotels in Dar Es Salaam
1. Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro
2. Ramada Resort Dar es Salaam
3. Sea Cliff Hotel

5 Star Hotels in Nairobi
1. Villa Rosa Kempinski
2. Hemingways Nairobi
3. The Boma Nairobi
4. Nairobi Serena Hotel
5. Sankara Nairobi
6. Radisson Blue Hotel Nairobi
7. Sarova Stanley
8. Fairmount The Norfolk
9. Palacina The Residence & The Suites
10. DusitD2 Nairobi
11. Tribe Hotel Nairobi
12. InterContinental Nairobi
13. Windsor Golf Hotel & Country Club
14. Eka Hotel Nairobi
15. The Concord Hotel & Suites
16. Ole-Sereni Hotel
17. Amber Hotel
18. Four Points By Sheraton Nairobi Hurlingham
19. Mimosa Court Apartments
20. Safari Park Hotel
21. Hotel La Mada
22. Hilton Hotel
23. Yaya Hotel & Apartments
24. GemSuites State House
25. Laico Regency Hotel
26. Height Twisters Furnished Apartments
27. Kengen RBS Apartments
28. GemSuites Riverside

Luxury Hotels Guides | 5 Star Best Luxury Hotels
 
Wewe ni bongolala kweli tena mwehu mkubwa sana! Hizo ni vitu vya kusifia kweli? Yani you could not see the satire in my statement! How pathetic!!!!
leo umepanic sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dar ulikua unaisikia huijui wewe heheheπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
I may be wrong but is this not kariakoor, Ile estate inakuanga pale cbd?
go on dreaming angalia vzr hio picha utaona 20fllor nssf house ilalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ futa tongo tongo
 
leo umepanic sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dar ulikua unaisikia huijui wewe heheheπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Estates zenu ni za uchwara sana hadi mnatia hurumu pale mnapoita hicho kijiji chenu sijui New York, mara Hawaii sijui Paris. Hizo ni miji tajika hazina ujinga kama hizo za dar mnaita estates. Estates gani za nyumba za bati ziliparara juu na kutapakaa kila mahali ni kama zimemwaga kutoka juu. Takataka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…