Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona hii apartment ya kupangisha ni ya maana sana kuliko Tribe hotel aliyoleta Nairobiwalker. Leteni guest houses pia
hujaona neno hotel au siku hzi unataka ligi za kitoto πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au kilio as usual??
 
hujaona neno hotel au siku hzi unataka ligi za kitoto πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au kilio as usual??
Ni aibu sana kuleta such an ugly hotel kisha unaita Tribe kitu kisicho cha maana....Wewe unaona hiyo "hoteli" ni ya maana sana. Mdanganyika ni mdanganyika tu
 
Ni aibu sana kuleta such an ugly hotel kisha unaita Tribe kitu kisicho cha maana....Wewe unaona hiyo "hoteli" ni ya maana sana. Mdanganyika ni mdanganyika tu
is tribe hotel yakueka hapa serious???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
is tribe hotel yakueka hapa serious???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na kwa akili yako unaona hiyo apartment ni kitu ya kuita hotel. Najua Dar apartment biildings ni kidogo ila punguza ujinga kuleta vitu vya ajabu na kuviita hoteli. Such buildings here in Nairobi ni apartments za kupangisha, sio hoteli. Hiyo tribe unadharau huwezi afford hata kununua kikombe cha chai. Pengine uuze mali yako yote na wewe pia ujiuze
 
Acheni ushamba wauza vifaranga
 
Usipoteze muda wako tulishaamalizana nao jana, izo vi guest house wanarudia rudia tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…