Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshe 5* za Dar wacha uboya.

Panari Hotel Nairobi.
Hapa 5* tuu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hiyo takataka kamuonyeshe najib balala.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmeshapost Serena, Kilimanjaro na Sea Cliff. Mshamaliza 5* sasa. Acheni magwiji wawaonyeshe sasa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tatizo lako unaweka vihotel vya ajabu ajabu tu. Unaangalia kwenye google classes zilizowekwa na "google local guides"
Haya mambo kila mtu anaweza akafanya hivyo. Hata mimi huwa nikiwa na muda huwa nafanya contribution kwenye google map kama local guid na kuweka classes za hizo hotel. So sidhani kama ni issue kubwa hiyo. Nipe siku tatu nitakuletea hotels zote unazoziona 3* Tanzania zitakuwa na 5*. Mbona simple tu kijana.
Hapa tunataka utuoneshe services za hizo hotels.
 
Kati yangu nawewe nani anaweka vihoteli vya kiajabu? Are you even listening to yourself? Nionyeshe mahali nilipopost hoteli ya kiajabu kama hivi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hong Kong Hotel Dar Es Salaam

Holiday Inn Hotel Dar es salaam

Wekeni 5* bana. Hizo vitu mnazoweka ni Guest House.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tatizo lako unaweka vihotel vya ajabu ajabu tu. Unaangalia kwenye google classes zilizowekwa na "google local guides"
Haya mambo kila mtu anaweza akafanya hivyo. Hata mimi huwa nikiwa na muda huwa nafanya contribution kwenye google map kama local guid na kuweka classes za hizo hotel. So sidhani kama ni issue kubwa hiyo. Nipe siku tatu nitakuletea hotels zote unazoziona 3* Tanzania zitakuwa na 5*. Mbona simple tu kijana.
Hapa tunataka utuoneshe services za hizo hotels.
 
Ati hii tena ni 5*. Hii yenye naona mabati imepiga kutu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…