Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma label ya hizo shati... SPORTPESA... TEAM: GOR MAHIA VS EVERTON[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wakicheza wapi????😀😀😀 kasarani au??
3B4286AA-83A8-456B-ACA2-6975AC50B23F.jpeg
 
i wonder where air tanzania is and why the only three major airlines in africa are mentoned,ETHIOPIAN,SOUTH AFRICAN AND KENYAN...Hauna aibu ku post hio?
Msamehe, ni hiyo kizungu ilimchenga. Hakuelewa ni nini kinazungumziwa
 
Msamehe, ni hiyo kizungu ilimchenga. Hakuelewa ni nini kinazungumziwa
Hii inabidi iwashitue zaidi.😀😀 Kwa sasa mnapigwa kipigo cha mbwa koko😀😀 Mashambulizi yatakuwa kila kona😀😀BBC anawapa alert😀😀 Check out @bbcswahili’s Tweet:
 
Nyinyi mshai host game gani KUBWA na team zenyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hio kiwanja ni YETU... Game KUBWA tukitaka kucheza tunawanyanganya [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
nijibu basi wakicheza wapi??? kasarani au??😀😀
 
Back
Top Bottom