only in THE UNITED REPUBLICS OF TANZANIA
dah wakenya wakenya mko na serious problems!! oneni daktari...Tunajihusisha na marekani kwa sababu we helped them with their 44th president. Hapo vipi?
mambo ya msingi yamekushinda sasa
Hii PICHA imerudiwa MARA ngapi? Bring us New artitecture.... Hizi ni boaring sana na Mnajifanya hapa nikama Dar pekee ndio kuna Ocean in the whole world... Bring us new things bana.... Areal view sijawahi ona I bet nikitafuta ni Miujiza ntaona
Unaokota picha mitandaoni ukisema ni kwako wee kilaza? Hivi una akili timamu? Maskini wa Tandale unataka kudanganya watu una paddy field?😀😀😀😀
View attachment 779235