nimeshuhudia kwenye event nyingi za Kenya umarekani upo..kuna siku nilikuwa natazama marudio ya match ya gor na timu gani sijui ligi yenu Mara paaap naona mashabiki wanapeperusha bendera ya marekani nikaanza kutafuta sababu ya ile bendera kuwepo pale uwanjani,nikakosa!NANI ALIKUAMBIA
Wacha kuhepa mjadala. Umeuliza swali umejibiwa. Gorofa za 18 floors mnashindwa kumaliza alfu mwataka kujilinganisha na Hong Kong? Ndio maana mimi husema kila mara Wabongo muna shida ya akili. Hong Kong imeshinda hata New York kwa Highrises alafu hiyo Dar yenye ukitoa TPA na PSPF inabaki gofu ndio wataka ujilinganishe nayo?😀😀😀Rafiki Nairobi tulishaisahau. Haituumizi kichwa, kwa sasa tuaumizwa kichwa na Hong Kong.
Hii hata Pastor WETU wa church ako NAYO kwani ni miujiza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwikwikwikwikwi. Ona sasa ulivyo mfinyu wa kuwaza. Nairobi mpaka sasa ni vichaka na vijumba vya mabati.Wacha kuhepa mjadala. Umeuliza swali umejibiwa. Gorofa za 18 floors mnashindwa kumaliza alfu mwataka kujilinganisha na Hong Kong? Ndio maana mimi husema kila mara Wabongo muna shida ya akili. Hong Kong imeshinda hata New York kwa Highrises alafu hiyo Dar yenye ukitoa TPA na PSPF inabaki gofu ndio wataka ujilinganishe nayo?😀😀😀
So?? To hellMorroco square 4*hotel hatimae imekamilika !!View attachment 778227
I always wonder why Tanzanians are always fussing over this midget. This is not even a building worth talking about - so many buildings like this sprucing up all over Nairobi unnoticed.Morroco square 4*hotel hatimae imekamilika !!View attachment 778227
Mzee mbona povu zito hivyo. Nimekwambia in near future Dar shall be The Hong Kong of Africa.I always wonder why Tanzanians are always fussing over this midget. This is not even a building worth talking about - so many buildings like this sprucing up all over Nairobi unnoticed.
Flight of ideas...I always wonder why Tanzanians are always fussing over this midget. This is not even a building worth talking about - so many buildings like this sprucing up all over Nairobi unnoticed.
Tunajihusisha na marekani kwa sababu we helped them with their 44th president. Hapo vipi?nimeshuhudia kwenye event nyingi za Kenya umarekani upo..kuna siku nilikuwa natazama marudio ya match ya gor na timu gani sijui ligi yenu Mara paaap naona mashabiki wanapeperusha bendera ya marekani nikaanza kutafuta sababu ya ile bendera kuwepo pale uwanjani,nikakosa!
hata hizo mnazoita matatu hizo picha mlizochora,asilimia kubwa ni wasanii wamarekani..yaani nimeona event nyingi sana wakenya lazima wajihusishe na marekani pasipo sababu za msingi..
ATA already tumewapita na mbali[emoji23] [emoji23]Honestly, kwa hizi projects Dar vs Nai by 2025 wale mafala wa Nigeria na sijui Ghana watatuambia nini?
Wewe utakuja kununua paka ulazimishe iwe simba😀😀😀Embu hesabu apo tusibishane sana View attachment 778248