Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

31255822_165557847450061_2094638761232039936_n.jpg

Source
 
Ichoboy, sipendangi ubishi saa zingine, especially na wewe. Picha za Avic zimeletwa hapa countless number of times so usiniambie hujui construction imefika wapi. In the below picture, the tallest tower is almost reaching the 30-floor mark. Hiyo section iko ma green net alone has 19 floors if you count well. From that angle, there could be 7 or 8 floors kurudi chini kutoka mahali hiyo green net imeanzia. So was I wrong to say inaelekea 30 floors? Unapenda ubishi sana wewe kijanaView attachment 778638
haya niambie hapo jengo gani linaelekea 30😀😀😀😀😀😀 iko wapi inaelekea 30 kwann siku zote unakua mpuuzi wewe

jengo liko 15floors unaniambia linaelekea 30 we akili yako iko sawa kweli????
 
iwapi hio yaelekea 30??? hehehe
Resdential yenye ime topout ikov30flrs already
haya niambie hapo jengo gani linaelekea 30😀😀😀😀😀😀 iko wapi inaelekea 30 kwann siku zote unakua mpuuzi wewe

jengo liko 15floors unaniambia linaelekea 30 we akili yako iko sawa kweli????
tapatalk_1526457855351.jpeg
hesabu kwako sasa😀😀😀Picha ni mzee kidogo kabla tower one litopout
 
Hizo ni cha mtoto zafiki
Unajua Kawe 711 wewe?
Maendeleo-ya-Miradi-87.jpg

7.JPG

455295
Naifahamu tena sana, ni majengo sita ya ghorofa 18 alafu liko onhold on tangu 2016,leta picha tu moja itakayo onyesha hayo majengo yamepita ghorofa ya sita kama ilivyokuwa alafu nahama huu uzi😀😀😀
 
Naifahamu tena sana, ni majengo sita ya ghorofa 18 alafu liko onhold on tangu 2016,leta picha tu moja itakayo onyesha hayo majengo yamepita ghorofa ya sita kama ilivyokuwa alafu nahama huu uzi😀😀😀
gorofa 18 tower ziko 11 inaitwa 711 kawe 😀😀😀😀😀 iga ufe
 
Back
Top Bottom