Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona povu zito hivi rafiki!!?
Haya basi hii hapa

Hesabu sasa mwenyewe
Wacha kulinganisha hizo uchafu mnaita barabara na zile za nrb. Kuja Nairobi ujue maana ya barabara
 
Wacha kulinganisha hizo uchafu mnaita barabara na zile za nrb. Kuja Nairobi ujue maana ya barabara
Naona sasa umegeuka kuwa kasuku(parrot). Maneno meeeengi vitendo zero kwikwikwiwikwi

BOARING City Huzuni 2 Kuani Ni Matanga mnaenda..... Ndio kwamaana dar HAIWEZI fikia night life ya Nairobi Uliza MTzedi AMEFIKIA nai akuchanue
 
wewe acha ujinga nani atakutambua na huo upuuzi vyuma chakavu vimejaa kunguni hvoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
He Ukiongea MUTU anaezadhani UMeishi Nairobi nika 20 na Kumbe umetoka KIGOMA... NAIROBI unaona kwa Tv.... Uliza Zari ama diamond Nairobi ndio KUSEMA nini We bado ujakanyaga jiji Dar is a fishing village
 
watakuambia matatu ni bora ina mziki mkubwa pimp cars[emoji2] [emoji2] [emoji2]
HUYU ANNAEL SIJUI NI SHULE HAKUENDA AMA NINI.... TUNAONGELEA MATATU YEYE ANAROPOKWA KUWEKA COACH BUS OF WHICH TUKIANZA KUZIMWAGA KINA MODERN COAST OXYGEN NA STEPPER ATAANZA KULIA COOKED DATA NKT!! HAHAAHAHA.... ACHA JOKES BANA
 
Wacha kulinganisha hizo uchafu mnaita barabara na zile za nrb. Kuja Nairobi ujue maana ya barabara
Zanairobi yanapita magari Au ndege?mpuuzi kwel uyu mtoto[emoji23][emoji23]
 
He Ukiongea MUTU anaezadhani UMeishi Nairobi nika 20 na Kumbe umetoka KIGOMA... NAIROBI unaona kwa Tv.... Uliza Zari ama diamond Nairobi ndio KUSEMA nini We bado ujakanyaga jiji Dar is a fishing village
BOARING City Huzuni 2 Kuani Ni Matanga mnaenda..... Ndio kwamaana dar HAIWEZI fikia night life ya Nairobi Uliza MTzedi AMEFIKIA nai akuchanue
Andika kingereza, kisw kibovu kama mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…