Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

halafu unaambiwa katika app bora za tv EA, app ya azamtv ni one of the best.

ina picha safi na sauti safi.
mashuhuda wa hili ni watz waishio nje ya nchi na baadhi ya watu wanaotazama tv kwa kupitia simu za mkononi.

wote wanaisifia hii app.
acha bakhresa aitwe bakhresa aise. hafanyi vitu kwa kubabaisha yule mpemba.

NB:
uchunguzi wangu unaonyesha hakuna mobile app ya tv za kenya yenye downloads za kuifikia app ya azam tv.
Hahahahahaha!!
Hata ya ITV ipo juu kabisa.
 
meanwhile
azam tv mobile app was released in june 2017,today 2018 it has one million plus downloads.

View attachment 776304View attachment 776305

citizen tv mobile app was released in june 2015,today 2018 it has five hundred thousand plus downloads.

View attachment 776307
View attachment 776308

NB:
women lie, men lie but numbers don't lie.
halafu utasikia wakenya wakisema ati wao ndio wanaongoza kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi ya mtandao wa internet east africa...kuna vingine huwezi kupika takwimu.smh.
viva tanzania.

hapa lazima wakenya watakuja na porojo na excuses nyingi.
Kenyacitizentv@gmail
Hahahaha , kweli hawa jamaa michosho.
 
Kenyacitizentv@gmail
Hahahaha , kweli hawa jamaa michosho.
halafu hapa jamvini kuna wakati huwa wanatutambia wao ndio wanaongoza kwa matumizi ya mtandao wa internet ilhali app zao zinasuasua kufikisha one million downloads.

wakenya ni watu wa porojo sana.
 
halafu unaambiwa katika app bora za tv EA, app ya azamtv ni one of the best.

ina picha safi na sauti safi.
mashuhuda wa hili ni watz waishio nje ya nchi na baadhi ya watu wanaotazama tv kwa kupitia simu za mkononi.

wote wanaisifia hii app.
acha bakhresa aitwe bakhresa aise. hafanyi vitu kwa kubabaisha yule mpemba.

NB:
uchunguzi wangu unaonyesha hakuna mobile app ya tv za kenya yenye downloads za kuifikia app ya azam tv.
That's impressive. So how much are they making as returns from that.
 
Ni percent ndogo sana ya wakenya wana uelewa wa Mambo. Wengine wengi makelele tu vichwa vimejaa maji.
Ni kweli kabisa. Mimi nimewahi kufanya nao kwenye uwanja huu wa IT wao empty kabisa. Ni makelele mengi tu na kujipendekeza kwa maboos huku wakipiga domo na unafiki wa hali ya juu. Wakenya wengi sana walifukuzwa kutokana na kushindwa ku meet target kila wakati. Ni washamba kweli.
 
Mbona tudownload app za Tv channels na already we have them, wenye wanadownload izo apps ni wale wenye hawana Tv
 
Nyumba kama izo zimejaa sana nje ya Dar maeneo kama Moshi na Arusha, Dodoma Be mikoa mingine. ...sasa iyo 50km away from Nbo kwenu mnaona ni miujiza
Ni miujiza kwa sababu tumeona zile nyumba ziko Dar 50 kilometers away. Zike si mitaa wala nyumba, zile ni vituko
 
sasa kwanini tv zenyu zimeweka app kwa appstore if it's not necessary?.
Kuna wenye bado hawana Television ya kuonea izo channels so wamezieka hapo for any interested person to download them
 
Kuna wenye bado hawana Television ya kuonea izo channels so wamezieka hapo for any interested person to download them
Acha ujinga wewe. Ficha upumbavu wako. Hili ni jukwaa la Great Thinkers siyo wajinga kama nyie.
Inamaana unatembea na TV yako kwenye gari, ofisini, uhuru park nk?
 
Back
Top Bottom