Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwikwikwikwi mpaka sasa bado unaamini wikipedia. Any person can edit wikipedia hata mimi sasa naweza fanya hivyo.
Nataka unioneshe video kama hii toka Nairobi

Project pyaaaa inaendelea
41994889291_a98ed82314_c.jpg

Apartmemt ZInajengwa VICTORIA njia ya Kuelekea KAIRUKI HOSPITAL Mkono wa Kushoto.
 
Just google how far to chanika from cbd,
It doesn't matter. si siku zote mnasemanga vile dar ni kubwa na Nairobi ni padogo? Huo ndio ukubwa wa Dar; uchafu left right and center. Huku Nairobi hata mitaa zilizo mbali na cnd hazijaparara hivyo
 
Hii hata siezijisumbua kusoma, skyscraper city is just a discussion forum like this one😀😀😀
Hahahaha!!! Povu. Nairobi ni ndooooooooogo sana kwa Dar unatakiwa ukubali hilo rafiki
This is Dar my friend usisikie ya kuambiwa hahahaha
13781747_10210630712830875_5087144312794249375_n.jpg

why_Dar_es_Salaam_has_such_high_housing_prices.png
 
Upgraded concrete Stadium in Nairobi hosting Gor Mahia vs Hull City .......Very ugly stadium
 
meanwhile
azam tv mobile app was released in june 2017,today 2018 it has one million plus downloads.

IMG_20180513_173935.jpg
IMG_20180513_173832.jpg

citizen tv mobile app was released in june 2015,today 2018 it has five hundred thousand plus downloads.

IMG_20180513_174124.jpg

IMG_20180513_172855.jpg

NB:
women lie, men lie but numbers don't lie.
halafu utasikia wakenya wakisema ati wao ndio wanaongoza kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi ya mtandao wa internet east africa...kuna vingine huwezi kupika takwimu.smh.
viva tanzania.

hapa lazima wakenya watakuja na porojo na excuses nyingi.
 
meanwhile
azam tv mobile app was released in june 2017,today 2018 it has one million plus downloads.

View attachment 776304View attachment 776305

citizen tv mobile app was released in june 2015,today 2018 it has five hundred thousand plus downloads.

View attachment 776307
View attachment 776308

NB:
women lie, men lie but numbers don't lie.
halafu utasikia wakenya wakisema ati wao ndio wanaongoza kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi ya mtandao wa internet east africa...kuna vingine huwezi kupika takwimu.smh.
viva tanzania.

hapa lazima wakenya watakuja na porojo na excuses nyingi.
Hahahaha!!! Wakenya watajua tu muda si mrefu.
Halafu wanatumia email ya gmail. Wakenya bana hahaha
 
Hahahaha!!! Wakenya watajua tu muda si mrefu.
Halafu wanatumia email ya gmail. Wakenya bana hahaha
halafu unaambiwa katika app bora za tv EA, app ya azamtv ni one of the best.

ina picha safi na sauti safi.
mashuhuda wa hili ni watz waishio nje ya nchi na baadhi ya watu wanaotazama tv kwa kupitia simu za mkononi.

wote wanaisifia hii app.
acha bakhresa aitwe bakhresa aise. hafanyi vitu kwa kubabaisha yule mpemba.

NB:
uchunguzi wangu unaonyesha hakuna mobile app ya tv za kenya yenye downloads za kuifikia app ya azam tv.
 
Back
Top Bottom