Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kiukweli wakenya wanavituko........naelewa sema ukitaka kumchora mjinga lazima uumjaze kuchwa ili ajione ndivyo nilivyofanya....kwa hawa chokoraaNdugu kwa mtu aliye tembea
huwezi ukasema Kenya kuna Flyover never
Hawa jamaa washamba kweli
