Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Coming Soon
IMG-20180509-WA0048.jpg
 
hiyo ndio maendeleo kwenu....stupidity is real
Mna Watumiaji wengi wa Internet kuliko Tz
ajabu nikuwa
Leo mnasherehekea Video ya kwanza Kenya nzima kufikisha 10ml vw iliyo na karibia Mwaka mzima
Huku Tanzania Msanii anachukua Mwezi tu 10ml v
 
Flyover Ipi!!
Unachekesha kenya kuna Flyover kweli!!
Flyover yakupanga matofali 40mt
Most of yal are too bitter.. Kenya is clearly miles ahead of you..but am guessing youl never admit that.. Nywei.. That's why this thread is still alive..
 
This guys have only one Flyover... When towns like eldoret and kitale have flyovers under construction
nyie kweli wehu.......TZ huwa hatutengenezi vitu kwa fashion huwa tunatengeneza vitu kulingana namahitaji.........

mnatengeneza fly over kwa fashion ndiyo maana hata hapo nairobi zipo tu hazina msaada thabiti kwenye utatuzi wa foreni hiyo yote sababu mnakurupuka.......

kuna miji mmeviweka viflyover wakati sehemu husika huitaji wa hivyo vitu ni bado......nyie ni wehu
 
Mna Watumiaji wengi wa Internet kuliko Tz
ajabu nikuwa
Leo mnasherehekea Video ya kwanza Kenya nzima kufikisha 10ml vw iliyo na karibia Mwaka mzima
Huku Tanzania Msanii anachukua Mwezi tu 10ml v
Hizo 10m views ni 100% yao SIO KAMA DIAMOND MUTU ANAFANYA COLLABO NA BIG STARS ALAFU ANADANDIA VIEWS ZAKE... BURE KABISA
 
Back
Top Bottom