Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3.JPG
NR6_0720%20Mtwara%20Airport%20Crop.jpg
 
Hahaha tuliza ball kijana
sawa nimetuliza...lakini tuletee angalau BRT au majengo au airport...sio bus stage bana unajiaibisha
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
usiwe kama akina mwarab ambaye anaweza kushangilia hata pit latrine iliozinduliwa kule kigoma

Hahaha basi umeshinda mm sitii neno
 
sawa nimetuliza...lakini tuletee angalau BRT au majengo au airport...sio bus stage bana unajiaibisha
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
usiwe kama akina mwarab ambaye anaweza kushangilia hata pit latrine iliozinduliwa kule kigoma
emoji23.png
emoji23.png
Wacha ujinga
Stand za Bus muhim sana
Asilimia kubwa ya Watanzania & Wakenya hutumia Usafiri wa barabara
Ni aibu mji kama Nairobi haina Stand ya mabasi
 
nanyi mna vibanda karibia 20 mnaziita airport
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
vibanda ambavyo hata nguruwe hawezi kukubali kuishi....mnapaka rangi juu ya mabati kisha mnaita airport
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
picha ninazo by the way
Vibanda vya Nguruwe Vinapatikana Kenya pekee
Wacha kujisahaulisha
 
Wacha ujinga
Stand za Bus muhim sana
Asilimia kubwa ya Watanzania & Wakenya hutumia Usafiri wa barabara
Ni aibu mji kama Nairobi haina Stand ya mabasi
Wacha ujinga
Stand za Bus muhim sana
Asilimia kubwa ya Watanzania & Wakenya hutumia Usafiri wa barabara
Ni aibu mji kama Nairobi haina Stand ya mabasi
ni muhimu sana nakubali ila sio jambo la kushangilia shangilia hapa kana kwamba imewafanya mkawa developed country...mfano, vyoo na lifti ni muhimu pia ila atakaye kuja hapa kusherehekea lifti atakuwa ni punguani...eti stendi za basi
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nyie watu mna vituko
 
ni muhimu sana nakubali ila sio jambo la kushangilia shangilia hapa kana kwamba imewafanya mkawa developed country...mfano, vyoo na lifti ni muhimu pia ila atakaye kuja hapa kusherehekea lifti atakuwa ni punguani
Kinaongelewa kingine unaleta kingine
Sasa hivi Humu Jf kuna Wakenya Vilaza tu
 
Kinaongelewa kingine unaleta kingine
Sasa hivi Humu Jf kuna Wakenya Vilaza tu
sasa wewe unashrehekea stendi ya basi si ndio utakuwa kilaza nambari moja
emoji23.png
emoji23.png
nashuku niwewe uliyeleta zile picha za uzinduzi wa lifti mkoani mbeya
 
umesahau hivyo vibanda milvyopaka rangi pale juu mkaandika welcome kigoma airport welcome tabora airport
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
welcome mwanza airport
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nazungumzia vibanda hivyo
Kigoma Au Tabora
Nimiji inayo tumia Usafiri wa Barabara sana
Na Ndege sio saana kivile
Tanzania inafanya vitu kulingana na Mahitaji ya Watanzania nasio kutafuta sifa
Imejenga Stand za mabas kila mkoa
maana ndio muhimu sana kwa Watanzania
Baada ya hapo ndio inakuja kwenye Airport
kumbuka Kila mkoa una njia yakurukia Ndege Nzuri
sasahivi tunaingia kwenye majengo ya Airport
Nibaada yakumaliza Vitu muhimu na jumuishi kwa watanzania
 
Back
Top Bottom