ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
december 2017😀😀😀😀 increase of 30% within two years cant you imagine hehheehView attachment 770105 Ndo iyo sasa
december 2017😀😀😀😀 increase of 30% within two years cant you imagine hehheehView attachment 770105 Ndo iyo sasa
Huyo sidhani kama kasoma.BTW kimasomo umefika level gani
😀😀😀😀😀 niwe nimesoma au kutosoma kwangu hainishtui lakin ukweli ndio huoHuyo sidhani kama kasoma.
kenya 2016 mlikua na 60% na 2017 muna 63%View attachment 770105 Ndo iyo sasa
ok jibu na mm ntakujibu na tunaenda county moja baada ya nyingine mpaka tuzimalize😀😀Hivi mtu aliye na akili timamu anaweza fananisha Kenyan airports na Tanzanian airports? Wacha niwape majibu.
Isiolo Airport
![]()
![]()
![]()
is this airport or airstrip hebu try to be serious???Lokichoggio Airport
![]()
![]()
![]()
kwani hii mm nakupa nn???
hio link ni ya december 2017
Tanzania’s grid power reaches to approximately 70% of the population
alafu vile huna akili umekumbatia ujinga kenya mumefika 63% data ya mwaka jana hio habari ni ya kitambo sana au nikuletee na ya kenya pia
tuma hio link hapa leo sikuachiView attachment 770128 Unajiaibisha bure broh
Mungu nipe uhai nione mengi hii ni airport iko kenya aisee 😀😀😀😀😀my ribs plz stop
View attachment 770086 View attachment 770087
safi kabisa
yaukweli kinoma😀😀😀 hiyo taxi ni balaaa 😱😱😱😱😱😀😀😀😀