Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Isiolo Airport V Kigoma Airport V Mwanza Airport V Kisumu Airport

Isiolo Airport
0fgjhsac71fslke2e.e1379191.jpg


Kigoma Airport
1200px-Kigoma_Airport.jpg


Mwanza Airport
PIC+atcl.jpg


Kisumu Airport
Kisumu22.jpg
so baada airport nne hukuendelea tena vp kulikoni au uligundua kua uko kwenye mtego😀😀
 
Ninyi ni kichaa kabisa, hivi huwa mnatumia vigezo gani kujipima kwamba nchi yenu inasonga mbele?. Be informed that, without food security, jobsecurity, peace, good land policy, equality and justice among your people, Kenyans shall remain poor and your country will continue to face the same problems of 1960s, ie. Food, water, poverty, slums and insecurity.
Kwa hizo vitu zote umetaja, the only thing worth mentioning is food security. Na kenya inakisa chakula si eti sisi ni wazembe or anything close to that. A half of Kenya is arid and semi-arid meaning that no serious agriculture can take place in those areas, unlike your country which receives rainfall in almost all corners. Ukisikia kuna njaa kenya, jua tu ni hizo maeneo nilizotaja (the entire northern Kenyan is like a desert). You'll never hear cases of hunger in western kenya, central kenya, coast province and most parts of the rift valley. Kwa hizo zingine zote ulizotaja sijui security bla bla, hakuna mnachoshindia Kenya
 
kakamega terminal building😀😀😀😀
where is economy 😛😛😛😛mbavu zangu
utasema vyoo vya stendi ya daladala
E7118118-AEA1-47B2-BABD-77B7E64F476A.jpeg
 
GOD is GOD
ohhhh my ribss wakenya wapi mlikosea Mungu
😀😀😀😀😀 is this terminal building or bus stage toilets
D9F27954-4ED1-487F-A112-C07B3144AEE8.jpeg
 
Back
Top Bottom