Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hujanijibu swali langu hio pic ulioweka hapo ni wapi???😀😀😀😀😀 usihamishe magoli ya kijitonyama wakat huku hatujamalizana😛😛😛😛

pole kaka hapo ni ndani ndanii ndaniii kabisa ya jnia! inatubidi sisu wasafiri kuogelea hadi terminal 3 au kutumia ferry na nyambizi. shida hii aisee.
 
uahhahahaha uzazi kondo ugumba kondo😀😀😀😀😀 umepanic tayari🙄🙄🙄
so umeshindwa ku prove hahahha
 
pole kaka hapo ni ndani ndanii ndaniii kabisa ya jnia! inatubidi sisu wasafiri kuogelea hadi terminal 3 au kutumia ferry na nyambizi. shida hii aisee.
Hizi akili hazipatikani popote duniani zaidi ya Kibera pekee..prove kwamba hapo ni JNIA
 
Hahahahaha. In what!!? Show me the link.
nimecheka sana hawa watu kumbe wapuuzi sana😀😀😀😀😀
airport inaungua kipuuzi tu

article-2385828-1B2EDE36000005DC-123_634x413.jpg

620x349
800_7xvwgsxnthckuzytqkf34g1pobd8sdzv.jpg
 
so umekubali ni ndani ndaaani ndaaniii kabisa ya jnia?? sina la ziada ila tu kungoja jiwe la msingi la ferry ramp!
Uhahahahha leo kila unapogusa pamoto au waita jotrooooo😀😀😀😀😀 leta nyingine tena nikunyooshe hapa unyooke vzr kama mchele basmat😛😛😛😛😛😛
 
Usilaimishe vitu, tunasubiri utoe proof kwamba hapo ni JNIA, umeshindwa kutoa proof unasema "so umekuli", atakubali vipi wakati ujathibitisha?, kama huwezi kuthibitisha, pia hiyo ni proof kwamba wewe ni muongo na unalazimisha ushindi.
 
Uhahahahha leo kila unapogusa pamoto au waita jotrooooo😀😀😀😀😀 leta nyingine tena nikunyooshe hapa unyooke vzr kama mchele basmat😛😛😛😛😛😛
zidisha emoji za maumivu! ila jioni lazima urudi ikulu kupokea kichapo kutoka kwa wasiojulikana. YoungD one man army hawezi kuhangaisha tz propaganda team hivi na msiadhibiwe. lazima pafe mtu leo.
 
One man army hana evidence na kashindwa ku prove😀😀😀😀😀😀 nimecheka sana leo
basi utakua one man army shoga kama huna evidence😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom