Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na1.jpg
na2.jpg
rozy1.jpg
rozy4.jpg
rozy3.jpg
rozy2.jpg
 
Acha Mumbai [HASHTAG]#Direct[/HASHTAG] flights to The USA na hatupigi MDOMO.... Unajua Kenyans are Very reasonable people... Tumejieka kwa level ya Tz ju hii forum ni yenyu lakini You are so Lucky this is not Twitter ama Nairaland... Sijui mungesema NINI nyinyi... Post zimewekwa hapa za Nairobi ni 40% Nairobi ni BIGGY sana infact too big that hio Kibera mnalialia hapa iko na section ya wadosi [HASHTAG]#Kibra[/HASHTAG] na bado places Kama Karen na FUNDA zijawekwa.... Hya!!
And DID YOU KNOW THAT NAIROBI IS THE ONLY CITY IN THE WORLD WITH A WILD NATIONAL PARK
We mbaba umetoka wapi? Hujui mwanza ina nation park ndani ya city? Usiongee usichokijua, mliidanganya dunia kwa muda mrefu
 
We mbaba umetoka wapi? Hujui mwanza ina nation park ndani ya city? Usiongee usichokijua, mliidanganya dunia kwa muda mrefu
Mwanza ni city tanzania but kwa international standards si city.

East africa city ni nne pekee.
 
ujenzi unaanza mwaka huu mwez wa saba nimeona quatation yako hao south korea kuhusu new surender bridge
Kila siku wanasogeza mbele...we need that bridge kipande cha Selander kimezidiwa.
 
But who are the investors and owners of SportPesa.

See the names below

1.Francis Waweru Kiarie

2.Ronald Kamwiko Karauri

3.Paul Ndung'u Wanderi

4.Robert Kenn Wanyoike Macharia

5.Asenath Wachera Maina

6.Gene Grand

7.Guerassim Nikolov

8.ValentinaNikolaeva Mineva

9.Ivan Kalpakchiev

10.Cellin Holdings
NDIO HIO SASA CLEAR EVIDENCE ONGEA SASA PUNJU KABISA
Hadi hapo picha linaelezeka kuna wababe wenu mnaowaabudu wapo chini hapo bila shaka show inawahisu ila unazingua kichwa maji kabisa wewe......lete official evidence inayoonyesha kuwa pevans east africa inamilikiwa na hao watu.....usilete mabango ya typing hapa
Screenshot_2018-05-06-18-32-35.png
 
yanga 0 -3 Algiers .......as usual there's no game that Tanzania can excel in maybe ushirikina .
 
Back
Top Bottom