Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #90,421
Hahaha wakenya bana. Ni shida mno. Watu wapo kwenye shida nyie mnacheza drama. Unaweza kuthibitisha kuwa wale watu walikuwa na mahitaji ya condoms kwa muda ule?walihitaji condom, na wizara ya afya ikaitikia mwito wao. ni kawaida kwenye institutions palipo na wake kwa waume huwa kuna "mambo mengi" sana yanayoweza kufanyika haswa wakati huu wa baridi.