Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haja ipo kuna mahal mlikosea but you can start over again. ..
hawawezi kuanza kwasababu mkataba na mchina umewafunga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kukosea walikosea na wao wanalijua vzr
 
sababu kubwa wafanya biashara wengi walikataa kutumia reli hio ni expensive fuel ni gharama na pia inaendeshwa kulipa deni kwa haraka, ndio maana inawaeka katika wakat mgumu kila mfanya biashara ni profit motivated

alaf swala la electric bado sana ndugu usifkiri ni kama kula chapati
 
Umeongea kiungwana kabisa...
Uganda nao wanaendekeza usingizi siwaoni kwenye speed inavyotakiwa
hapana uganda ni wajanja hawataki kuingia walipoingia wakenya kwasababu wanajua kua wakenya kwenye reli hio wamebugi ndio maana unaona wanachelewesha maksudi japokua kenya inawabembeleza,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

waswahili husema ukimwamsha alielala utalala wewe
 
Millenium tower ni 30? 3 flrs hazitumiki zipo juu kabisa nasijui huzitumia kufanyia nn
Anyway PPF is toped out already kama issue ni kua complete tuitoe...there is no winner ,draw
hehehe kwa maelezo yake nilivoyasoma alitala akuoneshe pinnacle na montave hebu mwamabie akuoneshe tuzione nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
chakwanza karibu sana mgeni jamii forum πŸ˜€πŸ˜€

View attachment 752924
Hii thread nimekuwa guest for 3years but nlishindwa kujoin ju nilithani mko na vitu za maana dar..... kumbe NI kujirudia tu.... I can't advice a tourist to visit dar is slum heri Malindi.... Naskia huko mnafunzwa hadi Math na Kiswahili... Nkt!! Bullshit!! MARA OHH upanga OHH ukisu OHH ujembe... Surely hizo ndio nini sasa Dar ndio mkokoteni ya kuelekea wapi.
 
umejoin 3 yrs ago seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani unaamka asbh mapema kutudanganya sasa
 
Ulitoa 1 na mm moja apo zimecancel each other...nmeongeza PPF tower which is 37flr sasa badala uendelee kujib umeanza kulia lia
Ppf si 37 ni 35flrs huu upuzi wa kuongezea floors mnatoanga wapi smh.. .
 
Serikali inayokopa hela kulipa madeni kamwe haiwezi lipa hilo deni, China will colonize this failed state in the nearest future, I bet.
old SGR with old trains for 4b usd kutoka msa to nairobi just 422km yani hapo mchina ndipo nimemuona hafai na wanajuta japokua wanaficha aibuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
floors zimevuka 35 na sahii ziko 37 na bado ujenzi unaendelea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Leta picha itakayo onyesha izo 37floors alafu ntatoka kwa i thread *****, tpa 35 mnasema 40,mzizima 33,35 mnasema 37 ,mnf 30 mnasema 32 yaani kila jengo lazima muongezee floors.
 
Leta picha itakayo onyesha izo 37floors alafu ntatoka kwa i thread *****, tpa 35 mnasema 40,mzizima 33,35 mnasema 37 ,mnf 30 mnasema 32 yaani kila jengo lazima muongezee floors.
hio ni mzizima ishavuka 35fl na ujenzi unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…