Mkubwa wa TPA anavaa suti ya 2,000/-.
Mnalipa pesa ngapi wakubwa kama hao especially MPs uko TZ?
ww ndio ulimuuzia hio suti??? hvi wakenya mbona munakua kama washamba hvi😀😀😀😀Mkubwa wa TPA anavaa suti ya 2,000/-.
Mnalipa pesa ngapi wakubwa kama hao especially MPs uko TZ?
ndio kwasababu rushwa ni kitu cha kawaida sana kwao😀😀😀😀😀kiukweli wala sio pesa kubwa maana hawa ni watumishi kama wengine.
kwani kenya mnawarundikia pesa ngapi???maana huko naskia mtu akiwa kiongozi tu basi kaula,ananeemeka.
na hapo bado .....tunataka jiji lote liwe na BRT wait phase zinazofuata......hatutaki kufanana.....chief tunafanya yetuTunaeemanga Dar vitu mnaonyesha ni brt and those three overrated towers. In a day, mnaeza post picha kumi za brt na zingine kumi za zile towers tatu
hilo jengo lao ni kama mnara wa baber ama makumbushoAt least tunaonyesha three towers. You only show one tower.😀😀😀 Nairobi is a city of one tower😀😀😳View attachment 752183
ha haaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]hakuna archtech mbabaishaji kama aliyebuni hili jengo duniani.jengo la ki
ipuuzi sana.
sin uhakika kama hata kuna kampuni ya maana imepanga hapo.
Vipi kuhusu shopping malls?Things that are in Dar but not in Nairobi are BRT and Cable bridge. Nairobi has slums while the great Dar doesnt have any.
Please do not include nature here like ocean or national parks.
Shopping malls kote kote zipo. Hapa tunataka vitu ambavyo huwezi kuviona sehem nyingine kabisaVipi kuhusu shopping malls?
Mkuu brt nairobi ipoThings that are in Dar but not in Nairobi are BRT and Cable bridge. Nairobi has slums while the great Dar doesnt have any.
Please do not include nature here like ocean or national parks.
Kuna jiji hapo lina shopping mall moja tu ya maana.Shopping malls kote kote zipo. Hapa tunataka vitu ambavyo huwezi kuviona sehem nyingine kabisa
Huyu jamaa anajifanya mtanzania. Huyu mtu sio mtanzania.Kuna jiji hapo lina shopping mall moja tu ya maana.
Anyways..Dar tuna ice rink (first in East Afrika).
Acha brabra weka picha ikiwa Nairobi😀😀Nairobi hata bidhaa ni nyingi kuliko Bongo kuna vitu huwa natafuta Tanzania sipati ila Nairobi napata na pengine dar inatumia Miaka mingi badae kuvipata nitakutajia vitu nilivyowahi tafuta muda dar sikupata nikapata Nairobi
1. HiTi photo Kiosk Printer
2. 3D printer
3. Infinix na Xiami phone kabla hajaanza kuziagiza agiza china kwa njia ya mtandao Nairobi zimejaa
4. Spea za Magari mara mbili nimeagiza Nairobi dar hakuna moja ilikiwa ya Nissan Xtrail ilikuwa 2011 nyingine ya Subaru
5. Kuna DSLR camera pia niliipata Nairobi hapa ilikuwepo duka moja posta bei ilikuwa Moto.
6. Soap base aisee hii mpk leo sijawai ipata ni blah blah tu mtu anakwambia fata huku mara kule lakini Nairobi hata uki google utapata mtandaoni
7. Nairobi vitu vingi wanaweka online na info unaweza kujua kipo hata kwa ku google
Mnyonge mnyongeni Wakenya haki yao Wapeni wapo mbele yetu.
Akili zenu hazifikili kusonga mbele bali mavazi. Nilahisi kumkuta mkenya kavaa suti huku anaishi kwenye banda la mabatiMkubwa wa TPA anavaa suti ya 2,000/-.
Mnalipa pesa ngapi wakubwa kama hao especially MPs uko TZ?