ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
imeamua na anaiogopa zanzibar kwenye hotels 😀😀 nimemwambia tuanze kaanza kuliaroundi hii Mombasa imeamua!!!!
ilete garisa tuone tuanze mm na wewe😀😀😀😀capital city hata garissa tu inaikimbiza😀😀😀 nashangaa wnaiita capital city😀😀😀😀
imeamua na anaiogopa zanzibar kwenye hotels 😀😀 nimemwambia tuanze kaanza kulia
wacha madharau...capital city hata garissa tu inaikimbiza😀😀😀 nashangaa wnaiita capital city😀😀😀😀
kwako wewe capital city inamaana gani?capital city hata garissa tu inaikimbiza😀😀😀 nashangaa wnaiita capital city😀😀😀😀
imeamua na anaiogopa zanzibar kwenye hotels 😀😀 nimemwambia tuanze kaanza kulia
mbona hizo hotels hazijabadilisha maisha ya wakaazi wa Zanzibar
View attachment 746846
Leta picha za mwanza au arusha tulinganishe na Mombasa ....BTW the largest city in Zanzibar ni??
Just asmall part of it.. na hata hiyo cbd ukienda street view iko down sana.
by the way thats our second city...ebu waambie wakuletee picha ya their second city....watatokomea wote utadhani unazungumza na ukuta...nje ya dar porini... watu milioni 50 wanaishi kwa misitu na wanyama tu..wengine miloni 5 wapo Kariakor wamebeba mitungi na kuni kichwani CBD wakiwa wamevaa mileso yao😀😀😀😀
😱😱😱😳😳😳😳😳🙁🙁🙁😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mbavu zangumbona hizo hotels hazijabadilisha maisha ya wakaazi wa Zanzibar
View attachment 746846
Thie ogathurie.Ushawai skia ghorofa imeanguka CBD, kariakor is uglyyyyyyyyy same old shit
Kibera siyo CBD... Dar iko down sana, mkubali yaishe.kama kibera
Mbona GDP haijabadilisha maisha ya wakenya wanazidi kuwa masikini na kufaa kwa njaa?mbona hizo hotels hazijabadilisha maisha ya wakaazi wa Zanzibar
View attachment 746846
Kibera siyo CBD... Dar iko down sana, mkubali yaishe.
skyscraper ni jengo la 150 metres plus. Good thing basiNakupatia picha ya phase 1and 2 majengo yakiwa pamoja. Kwa taarifa yako wanapanga kuanza ujenzi wa skyscrapers Dar es salaam na DodomaView attachment 745185 View attachment 745183
zanzibar hotels huzitaki au sio unaogopa 😀😀😀😀😀😀😀 narudia kusema hakuna mji wowote east and central africa unaeza simama meza moja na zanzibar kwenye beach hotel kama yupo anaebisha niko tayari😛😛😛Leta picha za mwanza au arusha tulinganishe na Mombasa ....BTW the largest city in Zanzibar ni??
@Bottasmbona hizo hotels hazijabadilisha maisha ya wakaazi wa Zanzibar
View attachment 746846