ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ndio unavoota hvo 😀😀😀Hata wewe mwenyewe umechoka na hiyo picha nivile hauna choice...
Dar will never beat mombasa in suburbs.
hahah CBD ndio wanajivunia...city ya 5million people.Hata wewe mwenyewe umechoka na hiyo picha nivile hauna choice...
Dar will never beat mombasa in suburbs.
Yuko right..umeshinda ukituma same pictures za cbd yenu since nikuone hapa....no suburbs kabisandio unavoota hvo 😀😀😀
Ninyi mnajivunia kibera suburbs au?hahah CBD ndio wanajivunia...city ya 5million people.
yani unaongea uongo mchana kweupe kua sijawah kutuma picha za suburb hapa kweli???😀😀Yuko right..umeshinda ukituma same pictures za cbd yenu since nikuone hapa....no suburbs kabisa
Kwani hizi CBD zenu hubadilika na msimu, tena leo the Ugly kariakor na kijiKonyama hakuna kwa list.Kariakoo sio CBD budah....
CBD ya Dar ni East Upanga, Posta, Mchafukoge, Kisutu na Magogoni
Mombasa kamwe haitaiweza Dar. ..sasa hii uchochoro so sawa na goba tu
Apa sasa ndio naanza kukuelewa
mombasa haingii hata robo kwa beach hotels kwa zanzibar 😀😀😀😀😀Mombasa kamwe haitaiweza Dar. ..sasa hii uchochoro so sawa na goba tu
uko tayar tuanze mm na ww kwenye beach hotels kati ya msa na zanzibar😀😀😀😀😀
city comparison mombasa vs arusha and mwanza combined ??uko tayar tuanze mm na ww kwenye beach hotels kati ya msa na zanzibar😀😀😀😀😀
nakwambia twende battle mm na wewe kwenye hotels kati ya msa na zanzibar tuone kama utapumua humu ndani😀😀😀😀😀city comparison mombasa vs arusha and mwanza combined ??
siku yenye nitajiskia kulinganisha Zanzibar na Mombasa kwenye mahoteli nitakuambianakwambia twende battle mm na wewe kwenye hotels kati ya msa na zanzibar tuone kama utapumua humu ndani😀😀😀😀😀