Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani haya majengo yalikamilika miaka mitatu ilioisha na hayana tenants? Alafu Mshashinda hapa mkituambia pinako ni white elephantπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mashirika ya umma yaache kuwekeza kwa majengo kwani yanakua white elephantπŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ aibu tupuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nani alikuambia hayana tenants? Am quite you have no idea how they even look like kwa ndani, do you?
 
Nani alikuambia hayana tenants? Am quite you have no idea how they even look like kwa ndani, do you?
Sitaki blabla kwani sina macho? Every person that have eyes can see that those three buildings are practically empty and i have that before.....
 
Ichiboy na mulisaa watakwambia iyo picha ni kitambo ama tenant wamelalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Ichiboy na mulisaa watakwambia iyo picha ni kitambo ama tenant wamelalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
zimekuumiza sana enhhhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
unaeza tuonesha ile white elephant inaitwa pinnacle na montaveπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

umia vzr na hapa bro
 
Tembo weupe alafu
zimekuumiza sana enhhhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
unaeza tuonesha ile white elephant inaitwa pinnacle na montaveπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

umia vzr na hapa bro
View attachment 744580 View attachment 744581
Zikipata tenants unitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tembo weupe alafu

Zikipata tenants unitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
so unaona tunajenga for nothing auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
safari hii mutaongea maneno yote ya kwenye kanga lakin kisu kiko pale paleπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ichiboy na mulisaa watakwambia iyo picha ni kitambo ama tenant wamelalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
hizo twin tower apartments kwenye jengo moja zilisha nunuliwa zote. Hilo jingine nusu yote ilishachukuliwa kwa updates nilizo kuwa nazo 4 years before.
 
hizo twin tower apartments kwenye jengo moja zilisha nunuliwa zote. Hilo jingine nusu yote ilishachukuliwa kwa updates nilizo kuwa nazo 4 years before.
Mbavu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Zilichukulia alafu kila usiku wanakuanga wamezima taa eh? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
so unaona tunajenga for nothing auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
safari hii mutaongea maneno yote ya kwenye kanga lakin kisu kiko pale paleπŸ™„πŸ™„πŸ™„
Asante kwa kunijibu mnajenga for nothing ,narudia zikipata tenants unitagπŸ˜›πŸ˜±πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mnajenga majengo kisa nairobi wanajenga Na lazima muwapiku ata kama nikua na majengo emptyπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Na tandale wananchi hawana nyumba za hadhi, Mashirika ya umma yakajenge nyumba tandaleπŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hizo twin tower apartments kwenye jengo moja zilisha nunuliwa zote. Hilo jingine nusu yote ilishachukuliwa kwa updates nilizo kuwa nazo 4 years before.
anaita white elephant na imeshajengwa sijui yakwao wataita vp purple elephant auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na hamuiwezi dar kwa density yani chukua nairobi+ msa + kisum+ kampala+ kigali hamuingii kwa dar kwa density ya majengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…