Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umeshayajua hayo majengo rytπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sasa hio ni downtown au uptown
 
umeshayajua hayo majengo rytπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sasa hio ni downtown au uptown
View attachment 741679
yaani nikama tu nazungumza na mbuzi ...maeneo hayo yapo karibu na CBD tu ila kuna kama border vile...ukivuka pande hio ya KICC unajipata uko New York ukirudi maeneo haya ya masoko unajipata na mahustler...sasa leta hawkers westlands na upperhill pia plizz sababu nimekutajia huko pia...ukipata nitagπŸ˜€πŸ˜€
 
Namuona Jay456watt na kofia lake pembeni jobless anapita anatamani anunue mboga ni vile hana hela
ningekuwa nakosa hela za mboga ningekuwa na log in JF nikitumia laptop yangu ya alfu mia moja? nazungumzia hela za kenya by the way...unajua hizo hela zeenu utakuwa trillionair kumbe unaishi Manzense unajua tupo middle income bro...hapa habana macheso...
 
ningekuwa nakosa hela za mboga ningekuwa na log in JF nikitumia laptop yangu ya alfu mia moja? unajua tupo middle income bro...hapa habana macheso...
Wapi wewe unaishi kwa Shemeji yako shemeji yako anakuweka Town
 
hujanijibu sasa ni uptown au down townπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ucjali sie middle income not LDC...middl income huwa wanapewa loan kama peremende
middle income with full of loans munakopa loan kulipa loanπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nilifkiri mutafkiria kutoa cash kumbe bado deni juu ya deni huku waziri wenu akisiktiza gharama kua kubwa na pia hakuna umeme wa kutosha yani kenya nahisi kama munalazmisha mambo

ikiwa hio ya diesel cost iko juu wafanya mbiashara hawataki kupakia mizigo yao hio electric itakuaje??
 
with gari moshi be serious plzπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
160 km/hr gari moshi inakimbia sasa piga hesabu usiwe kana kwamba sijui hujawahi kuingia nursery...nakupatia formula Distance=speed X time
 
160 km/hr gari moshi inakimbia sasa piga hesabu usiwe kana kwamba sijui hujawahi kuingia nursery...nakupatia formula Distance=speed X time
where is 160km per hrπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ talk of 80km per hr na usifkiri itakimbia 80 haiwezi lazma iende less than 80 ya mizigoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
ujali bro electric pia tumeipangia...mukilaunch nasi tuna launch makei yenu yamo mikononi mwetu tumekamata
 
ujali bro electric pia tumeipangia...mukilaunch nasi tuna launch makei yenu yamo mikononi mwetu tumekamata
muna launch when?? yani mumenifurahisha sana
electric kwa miaka 5 sahau kabisa yani msiwaze kabisa
 
maisha yanabadilika kutokana na akili yako ilivyo.....sina shaka ila niseme hivi hii kauli mnayoipenda kuitamka kuhusu TZ ya "tuta"..ina mwisho wake ......

mkae mtambe mfanye lolote Tz lazima itakuja fanya mapinduzi ya kiuchumi tena makubwa...niishie hapo mimi ni mtu wakungojea result tu ipo siku mtakaa kimya....coz kenya haina cha maana ila ni propaganda tu zimetawala
 
where is 160km per hrπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ talk of 80km per hr na usifkiri itakimbia 80 haiwezi lazma iende less than 80 ya mizigoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
gari moshi hizi zinawapa kiwewe sana...yes ni nzee ila mwendo ni huo huo tu wa 160km/hr...wazungu huwa wanasma better half a loaf than no bread...wanaozungumza hata rei hawana...ndio wanapambana na vumbi msituni kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…