Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kadili wanavyonijadili ndivyo ID yangu inavyozidi kujipatia umaarufu.
JamiiForums.com.com imelala kweli. Wanachojua ni kutukanana na kuonesha wanawake wakiwa uchi.
Yaani jamaa huko ni washamba kweli. Eti wanaongelea kuja Tanzania kupata wanawake, hakika wapo na tatizo la kisaikolojia.
 
What employment and you are in the least developed countries category........employment ya ujinga tu.
 
upload_2018-4-10_21-42-39.png
 
Jay456watt hehehe huu ndio ustaarabu CBD😀😀😀😀😀 nimekukamata kwa makei au sio evart jionee bro hapo ndio CBD nairobi
View attachment 738136
Alikuambia Nairobi kuna uptown na downtown. Hayo mambo ya kuuza jijini yanafanyika downtown wala hutoziona uptown. Hata kule downtown, wanaruhusiwa tu mida za jioni kufanya biashara zao; hautapata hawa hawkers wakiruhusiwa maeneo hayo kabla ya saa kumi na moja jioni.
 
unalia nini?.
 
do u cry or???
 
Uptown sijui downtown ni maneno tuu ya kizungu hayaongezi wala kupunguza kitu chochote kwenye mji.
 
wewe ni jobless so kesho elekea cbd kupiga maround ukifanya window shopping for things you can't afford to buy.
dah mkuu una dhambi ningekuwa mimi nisinverudi tena kwa hii thread...

ati around cbd kufanya window shop for nothing kwa asichoweza efford
 
Back
Top Bottom