Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you so naive in your brains, there are many article you can read, just google you get each and everything from the meaning of failed state to why Kenya is ranked as a failed state
Hiyo ndiyo ile slum yenye El matador hua anawapea doz nayo kila siku hapa
 
Jamaa mshamba sana. Hana exposure
 
Huwa nacheka sana ninapoona hizo taa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
La muhimu nilitaka ujue ni kwamba outtering rd bado iko under construction. Hizo story mingi zako za vijiweni peleka tandale au mwanyamala kwa uswazi
iko undercosntruction vp na hakuna sehemu wamejenga pedestrian path ?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Asante kwa kutambua kwamba mombasa ndo inafaa kupambanishwa na Dar
density ya dar chukua nairobi + msa+kisumu+ kampala hamufikii robo tatuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata kama inauma vumilia tu
 
Eti nisiforce tufanane?? Hehehe..that must be the joke of the year. sina hata tamaa ya mimi na wewe tufanane wala nchi yangu kenya kufanana na Tanzania. Mbona nitake kenya ifanane na nchi ldc kama Tanzania? You are not and will never be our role models so usiforce kitu haipo. Najua ukweli inauma ila ntakukumbusha tu kwamba jiji lenu mmejaza changaduo ( dream houses) kila corner bila kuwa na mpangilio. Nyumba za gable zenye bati zilozirust kila mahali halafu mnapiga kelele hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…