joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ninyi huwa mnatapatapa sana, tukiwafukuza na kuwakatalia kuja kufanya kazimTanzania, mnasema watanzania hawataki muungano wa EAC, tukiwapa kazi mnasema hatuna watu waliobobea, ninyi nchi yenu onaporomoka kwa kasi ya ajabu, kilichobaki ni kupiga kelele tuPoint yangu ni kwamba pengine hamna waandisi waliobobea
Mnachekesha kweli. Hii nguvu yote mnatumia kufatilia maswala ya Kenya mngetumia kujikwamua kutoka ldcKwanini msiweke bendera ya Kenya mnaweka ya tz ,au ndio mambo ya failed state
Kazi gani mnatupatia ama ni professionals ndo hamna! mbaazi ikikosa matunda husingizia juaNinyi huwa mnatapatapa sana, tukiwafukuza na kuwakatalia kuja kufanya kazimTanzania, mnasema watanzania hawataki muungano wa EAC, tukiwapa kazi mnasema hatuna watu waliobobea, ninyi nchi yenu onaporomoka kwa kasi ya ajabu, kilichobaki ni kupiga kelele tu
Asante kwa kutambua kwamba mombasa ndo inafaa kupambanishwa na DarPicha ya kwanza miaka karibu 8 iliopita lakin bado mombasa haijafika apo...shame on you
hata mimi ile yangu kuhusu wewe kula githeri mida ya usiku uliipata kisawa sawa.The most important thing ni kwamba message umeipata
Wewe endelea kuabudu mungu wako diamond na kula karanga zakehata mimi ile yangu kuhusu wewe kula githeri mida ya usiku uliipata kisawa sawa.
ila acha kujamba hadharani cos najua moja madhara ya kula githeri ni tumbo kujaa gas.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani tulipoweka working permit kuwa $2000 mkapiga kelele tuliwalenga nani?, tulipowafukuza walimu toka Kenya hawakuwa professionals, tuliposema watu wote wasio na working permit warudi makwao mkalia sana kwamba tunatarget Kenyans umesahau?. Mna professionals gani ninyi kila siku majumba yanaanguka na kuua watu kila siku huko kwenu, lini umesikia nyumba Tanzania imeanguka?, we have many and best engineers in EA.Kazi gani mnatupatia ama ni professionals ndo hamna! mbaazi ikikosa matunda husingizia jua
hawana akili hawa wakenya halafu mbona hawa wakenya ni mambumbumbu tu .....hakuna anayeijua geograph na masterplan hata mmoja ni maboya tuHapo kuna shida gani??? Au kwa vile hamjazoea miji yenye high density.
Haya angalia hapo Paris na Rome useme napo ni slum cities.
View attachment 734301View attachment 734302
Msijali Kaka jipeni moyo miaka zingine 10 hivi mtajipata tulipokuwa in the late 90s.Ninyi huwa mnatapatapa sana, tukiwafukuza na kuwakatalia kuja kufanya kazimTanzania, mnasema watanzania hawataki muungano wa EAC, tukiwapa kazi mnasema hatuna watu waliobobea, ninyi nchi yenu onaporomoka kwa kasi ya ajabu, kilichobaki ni kupiga kelele tu
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankingsMsijali Kaka jipeni moyo miaka zingine 10 hivi mtajipata tulipokuwa in the late 90s.
Nyumba Tz haziwezi anguka...92% slum inaanguka kivipi?? labda iwe ni albino anachomolewa kwa nyumba.Kwani tulipoweka working permit kuwa $2000 mkapiga kelele tuliwalenga nani?, tulipowafukuza walimu toka Kenya hawakuwa professionals, tuliposema watu wote wasio na working permit warudi makwao mkalia sana kwamba tunatarget Kenyans umesahau?. Mna professionals gani ninyi kila siku majumba yanaanguka na kuua watu kila siku huko kwenu, lini umesikia nyumba Tanzania imeanguka?, we have many and best engineers in EA.
https://www.nation.co.ke/news/Kenya...Index-rankings/1056-945310-xke1t0z/index.htmlNyumba Tz haziwezi anguka...92% slum inaanguka kivipi?? labda iwe ni albino anachomolewa kwa nyumba.
Wewe chalii wa failed state