Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 615
Hapa ni Nairobi sehemu gani?😀😀
Wewe ni mwelewa kweli mbona unaongea anti clockwise nakuuliza hichi unauliza kileHapa ni Nairobi sehemu gani?😀😀
Wewe ni mwelewa kweli mbona unaongea anti clockwise nakuuliza hichi unauliza kileTimes tower ni keja yako ndo unajuaTimes tower ni 30 flr
Type of soil found in Tz is known as colluvium which is Reddish in Color 😀😀😀.udongo mwekundu dar😀😀😀😀😀
Nataka kukuonyesha vile ulivyo na maswali ya kipuzi![]()
Wewe ni mwelewa kweli mbona unaongea anti clockwise nakuuliza hichi unauliza kile
Hahaha,,,,yes true yea dar es salam is much much much better than Nairobi,,,, more skyscrapers good roads and everything,,,, continue dreamingMi huwa nawaambia wakenya
Mji wao umepangika
Ila ukija kwenye towers tumewazidi mbali sana
wow dongo kundu in dar???😀😀😀Type of soil found in Tz is known as colluvium which is Reddish in Color 😀😀😀.
![]()
![]()
Sasa wewe umeingia shutterstock.com ukachukua hicho kipicha chako unadai Dar ingia kwenye hiyo Link uone mambo.Halafu inaonekana hujawahi kuiona dar kwa macho yako endeleza harakati huwezi jua unaweza fanikiwa kupaita hapa DarType of soil found in Tz is known as colluvium which is Reddish in Color 😀😀😀.
![]()
![]()
Hiyo Avatar ndiyo wewe nini??Nataka kukuonyesha vile ulivyo na maswali ya kipuzi
Huyo mwarabu wa mwananyamala anajua hata piles ni nini. The only English word anajua ni renderHauoni piles hapo? We ni zuzu.. .
Kwani ulisomea geography nje ya dirisha na tena kwani upo colorblind ukweli unapotajwa? Som type of soils found in Dar es sluum.wow dongo kundu in dar???😀😀😀
hapo ni dar upende usipende.😛😛😛Sasa wewe umeingia shutterstock.com ukachukua hicho kipicha chako unadai Dar ingia kwenye hiyo Link uone mambo.Halafu inaonekana hujawahi kuiona dar kwa macho yako endeleza harakati huwezi jua unaweza fanikiwa kupaita hapa Dar
Hiyo Avatar ndiyo wewe nini??
Karibu sana povu master.😀😀Ndio yeye na kakifua kake ka banzi la chooni.
Sasa leo mnataka kulinganisha Dar na Nairobi kwa sector ya malls. Just in case danganyikans didn't know, Nairobi has the most developed and biggest shopping mall market in sub-saharan Africa outside south Africa. you should learn to accept certain things. Sio kila kitu mnafaa kuleta ubishiQuality Centre mall
Mlimani city mall
Mayfair mall
Shoppers mall Mikocheni
Mkuki mall
Aura mall
City mall
Kibo complex
Nhc house mall
Msasani city mall
Gsm Pugu road mall
Dar free market mall
Oysterbay shopping centre
Shamo world
Viva towers mall
C&G Mikocheni mall
Baraka Mall
U/C
Morroco square mall
Peninsula Mall
Skymark mall
Mbezi Beach Mall
Nioneshe hizo zenu hata 25
uhahaha sijui endeleeni kuchimba leo 4yrs😀😀Huyo mwarabu wa mwananyamala anajua hata piles ni nini. The only English word anajua ni render
Give us aerial views please