Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Visitors overcrowd Namanga post
Wakenya wazidi kuikimbia nchi yao na kuzidisha mapenzi kwa Tanzania, karibuni sana kisiwa cha amani, njoo mjifunze jinsi ya kuishi kwa kupendana na kuvumiliana
SOME of them were Tanzanians living in Nairobi coming back for holidays in the country. Others were Kenyans wishing to spend the Easter Weekend in Arusha. The travellers overcrowded the Namanga border post in Longido District.
 
Every person would love to visit Tanzania when gets time
 
Tanzania is a cheap country ni kama nitoke hapa niende Malawi ama CAR I am sure nitapata place affordable unlike trying Nigeria or South Africa. Cheza na hii hapa daddy.
LDC-2018.png
 
Hahahaha, kwanini msiende Uganda au Ethiopia au South Sudan?, kitu kilichonivutia zaidi ni kuona hata nchi kama Burundi pamoja na matatizo yao yote ya uchumi, lakini wanawekeza ili kuja kuitembelea Tanzania. Hii bullet train ikianza kazi ninahisi nusu ya populations za Rwanda na Burundi watatembelea Tanzania kila mwaka

Swahili plays a major role babaa...Wakenya wengi hawaelewi Kirundi, French au Amhara but Swahili tunaelewa.
 
Mbona Burundi wanatembelea Tanzania kama lugha ndiyo kikwazo cha wao kuja Kenya au Kenya kwenda Burundi?. Uganda wanazungumza English, kwanini msiende kutembelea Uganda?. Kila mtu angependa kutembelea nchi yenye amani, usalama, upendo na umoja, na ambayo uchumi wake na business opportunities ni nyingi. Tanzania pekee ndiyo yenye sifa zote hizo katika ukanda huu.
 
Kenya iko mbali ukilinganisha na Tz...we dont share a border and Kenya is tooo fast for Burundians.
 
We share a border with them and at least we can communicate in English in fact i have been to Uganda many times, have many friends there and they come to Kenya too.
Sasa mbona wengi wa wakenya hawaendi Uganda in large number kama mnavyokuja Tanzania?, na wengi kati ya wakenya wanaokuja Tanzania wanaamua kutorudi Kenya, what is wrong with Kenya?
 
I told you Tz is a Cheap Country and easy for Kenyans to get money due to their expertise. Shida ya Kenya ni kuwa kila mtu ni pwagu au pwaguzi(kila mtu ni mjanja) but huko kwenu majority ni inexpirienced hence easy to expolit.
 
Business visa to Tz for kenyans is ksh 5k. Magufuli making a killing..And other visas still chargable..so who is loosing $$ here?
 
Back
Top Bottom