Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu ujinga yako ni kwamba husomangi link ujue inazungumzia nini. Hiyo taarifa inazungumzia wasomali waliotorokea kenya kutafuta chakula kutokana na njaa ulioletwa na ukame nchini Somalia. Acha kuonanika ujinga yako dunia nzima ione
unaona sasa unavokua bogus inaonesha kiswahili hukielewi vzr ngoja nikuletee lugha ya wazungu labda utaelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I am working on some Brt vs daladala videos kesho......nitawaibisha na hizo brt zenu....get ready
hasira zikupande ulete na hiace useme dar kwa taarifa yako dar hakuna gari hzo za hiace never πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
unaona sasa unavokua bogus inaonesha kiswahili hukielewi vzr ngoja nikuletee lugha ya wazungu labda utaelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Labda sielewi kiswahili lakini najua kuisoma. Tafuta taarifa nyingine, hiyo tushajua inazungumzia wasomali wala sio wakenya
 
dar hakuna hzo hiace huwez kuta hata moja πŸ˜€πŸ˜€
Naona hata hizo number plates pia sio za Dar. kwa kukana mambo hapo mumebobea na wala hamna mpinzani. Mnakana vitu hata za wazi
 
Naona hata hizo number plates pia sio za Dar. kwa kukana mambo hapo mumebobea na wala hamna mpinzani. Mnakana vitu hata za wazi
hiace ziko mikoani kama arusha mbeya na kwengineko lakin sio dar neverπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
You know Kenya and Tanzania are like Siamese twins and it honestly pains me to see our neighbours stuck at LDC level despite the vast resources they are endowed with......our Tanzanian brothers and sisters you can always call on us to help out msiumie kwa siri.....ama vipi ichoboy..
na msichome kuku zetu na kuiba ngombe za maasai wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…