Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

what's a CBD to you?
 
mutafukuza investors wote na bahat mbaya zaidi hamuna resources sijui mutaishi vpπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hatuna resources ila uchumi wetu ni kubwa kuliko nchi yenye resources. vipi kuhusu hiyo taswira?
 
Nchi ya madeni [emoji3][emoji3]
Ni nchi gani haina deni hii dunia? Maybe it's only Tanzania. Even US, the biggest economy in the world has billions of dollars in debts. I know you didn't know that so you should thank me
 
Hatuna resources ila uchumi wetu ni kubwa kuliko nchi yenye resources. vipi kuhusu hiyo taswira?
fukuzeni hvo hvo investorsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ alaf mutaona nn taswira yenu kwenye uchumi
 
Ni nchi gani haina deni hii dunia? Maybe it's only Tanzania. Even US, the biggest economy in the world has billions of dollars in debts. I know you didn't know that so you should thank me
USA unafananisha na kenya seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
we sina hakika kama uko sawa kiakili
 
Wewe ndio hauko sawa kiakili kwa kufikiri kwamba kenya ndo nchi ya pekee iliyo na deni duniani. At least sisi tumechukua madeni kujiendelza na kujiinua kiuchumi, nyinyi deni yenu mumefanyia nini na bado mmekwama kwenye lile tope la ldc?
 
US haiko level moja na kenya ndugu USA is ahead of kenya for more than 400yrs yani kujifananisha na USA hio toa uchafu kwenye ubongo wako
 
Wewe ndio hauko sawa kiakili kwa kufikiri kwamba kenya ndo nchi ya pekee iliyo na deni duniani. At least sisi tumechukua madeni kujiendelza na kujiinua kiuchumi, nyinyi deni yenu mumefanyia nini na bado mmekwama kwenye lile tope la ldc?

Tanzania Ile sehemu nishatembelea nimeona umaskini wa kiajabu. .....this year I want to tour the southern and western parts nione hata kama ziko atleast........hao wasee si LDC kimakosa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…