Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiingii twende battle Mwanza na mombasa twende battle my friend ctaki maneno mengi sana mm hua simzungumzaji sana tuanze battle mm na wewe
hahaa...battle zingine hazimek sense kiukweli.nikama hii sasa.
 
Ngoja niende nikale bata siunajua dar ndo jiji la starehe afrika mashariki na kati, munanipotezea muda tu
 
Ngoja niende nikale bata siunajua dar ndo jiji la starehe afrika mashariki na kati, munanipotezea muda tu
dd9740d7d3e43ef020621082731b4ecd.jpg
 
povu liko wapi apo...i think you guys dont see the true picture thats all
Wewe usinifundishe mm mombasa nimefika mombasa more that 6 times my friend last year mwez wa12 nilikua hapo na tunapitia border ya lungalunga kwanzia border ya lungalunga 90 km mpaka mombasa town Barbara zote mbovu mashimo yamejaaa
 
Kianda Nairobi, Kenya. Mpaka hapa nadhani bandugu mmeiona Nairobi halisi. Mkitaka nitawaletea sehemu za starehe za Nairobi na Jinsi wanavyo kunywa chang'aa ndani ya jiji la Nairobi.

Kianda Nairobi, Kenya.
Kianda.jpg
CHU00822KEN.jpg
 
Wewe usinifundishe mm mombasa nimefika mombasa more that 6 times my friend last year mwez wa12 nilikua hapo na tunapitia border ya lungalunga kwanzia border ya lungalunga 90 km mpaka mombasa town Barbara zote mbovu mashimo yamejaaa
hahaa.....ili ndio povu sasa.sikufunzi mombasa and am not saying its perfect.nikuwa its much better than your 2nd city
 
hahaa.....ili ndio povu sasa.sikufunzi mombasa and am not saying its perfect.nikuwa its much better than your 2nd city
Twende battle sasa maneno ya nini sinataka nikuoneshe Mwanza ya 2017 munafkiri watu wamelala twende battle ctaki maneno mengi mm
 
Ngoja niende zangu wet n wild the biggest water theme park in east and central Africa ni kale bata mpaka kuku aone wivuuuuuu karibuni wakenyaa😀😀😀

dar es salaam tamu sana.
jumamosi ya usiku wa jana nikiwa na rafiki zangu (mabeshte) tulizunguka viwanja kadhaa vya kula bata jijini dar es salaam.

tulianzia pale men's pub and lounge mikocheni,tukaenda east 24 halafu tukamalizia the pallet.

uzuri wa dar amani imetawala sana, unakula bata bila kuwa na hofu ya kutegeshewa vilipuzi na alshaab au kupigwa ngeta na wakora kama inavo watokea wakenya pale nairobi.maisha yao mda wote yametawaliwa na hofu ya kufanyiana unyang'au.

ndio maana wale wakenya wenye pesa ya kutosha,wakitaka kula bata,wanakuja Tz.

Hii ni picha niliyopiga kwa simu yangu nilipokuwa meb's pub and lounge.
0c64c7da691b92af6c2b01f27269a42d.jpg

dar is all the way up
 
Utachoka maskini!! Watu wametembea Nairobi na wanajua, hizo sehemu zote unapost, yani ni kupoteza wakati unafanya, watu wanajua what Nairobi is, na Wengi Wameishi Nairobi miaka yote bila kujua Slum zinapatikana wapi!!! Lakini Dar Is Slum?? Kijiji hicho chote ni Slum!!! Unadhani tumewahi panic na hizi picha zenu? Zipo kwetu, na sisi ndio twajua mahali zipo, hata uking'ang'ana nazo mwaka mzima, utatupata tu bado tupo na tumetulia!! Danganyikans and their Slum city of Dar is Slum
 
Umeibuka siyo. Safi sana. Nataka unipatie picha za maeneo yafuatayo:-
Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo[7]
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
 
Kianda Nairobi, Kenya. Mpaka hapa nadhani bandugu mmeiona Nairobi halisi. Mkitaka nitawaletea sehemu za starehe za Nairobi na Jinsi wanavyo kunywa chang'aa ndani ya jiji la Nairobi.

Kianda Nairobi, Kenya.
View attachment 490226 View attachment 490227

I told you Danganyikans, don't play with the integrity of us Kenyans, Kibera is known worldwide and Nairobi is know, but you dont know that we have been using your own stupidity to market Dar is Slum Negatively.

This Kibera Wars of yours are having the worst effect on your town of Dar is Slum. We Kenyans know how to post this posts so that they get traction on Google search.

Now that Kibera is known their is no effect you have caused on Nairobi, but right now as we speak, we have been able to terribly paint your city negatively on search engines like Google.

You have to stop it or you wont blame us after the world knows that Dar is Slum.

Check out when on searches for Dar is Slum on Google.......hhhhhhh don't joke with Kenyas!!!

Capture.JPG
 
Umeibuka siyo. Safi sana. Nataka unipatie picha za maeneo yafuatayo:-
Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo[7]
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
Hhhhhhh, Don't joke with us Kenyans mtajiju, before muache huu ujinga the whole world will have rated Dar is Slum a slum city

Capture.JPG
 
Utachoka maskini!! Watu wametembea Nairobi na wanajua, hizo sehemu zote unapost, yani ni kupoteza wakati unafanya, watu wanajua what Nairobi is, na Wengi Wameishi Nairobi miaka yote bila kujua Slum zinapatikana wapi!!! Lakini Dar Is Slum?? Kijiji hicho chote ni Slum!!! Unadhani tumewahi panic na hizi picha zenu? Zipo kwetu, na sisi ndio twajua mahali zipo, hata uking'ang'ana nazo mwaka mzima, utatupata tu bado tupo na tumetulia!! Danganyikans and their Slum city of Dar is Slum
you sound panicked bro...chillax.come to dar for a 5 days relaxation uachane na hiyo matope ya nairobi kwa muda.I will host you for free.I like you because your last name (wanjala) is also used by some Tanzanian families.you seem to have that Tanzania positive altitude in your blood.
 
Back
Top Bottom