Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Laini Saba Nairobi, Kenya
55545933.jpg
55546325.jpg
7-img2748scaledi2e.jpg
img_4427.jpg
wAn8TZD.jpg
 
Sio moja ziko tatu under construction
1. Tazara fly over
2. Ubungo interchange with 3 floors up
3. Tabata flyover 2 floors up
Usishtuke ndio hvo 2017
kama bado mnajenga tatu then inafaa mfikirie mombasa mwanzo bfr mfananishe na nai....hamna ata clover leaf moja then mnajifananisha na nai?mtafikia lini southern bypass,outer ring,ngong road,eastern bypass,jkia to rironi,thika highway,western bypass....mombasa pekee ina dongo kundu,port reitz,na msa to mki highway zenye zinajengwa.feels gud to be back
 
Why would we need a marine transport and a bridge when we are not a costal city!!!hizo hatuhitaji !!....
Wajeengeeni basi hata likoni mombasa watu wanapata shida wengine kufa kabisa hehehe
Hehehhh ndio maana nilikwambia ingiza kisumu na mombasa kwa dar
images (8).jpg
snar1hizwfgta55dadabcc6823.jpg
CSOftRJUwAACr7O.jpg
images (10).jpg
 
Hahahahaha hautaki kuziona tazara fly over na tabata fly over unaona sasa kitu kinacho wasumbua nyie hua hamutaki kuona maendeleo ya wengine kila kitu hamutaki munataka nn sasa
Ndio maendeleo sio nyie mumepata njaa munaomba pesa dunia nzima 😀😀😀😀
Maendeleo kama hakuna mbona tuseme kuna maendeleo ...you are a lazy nation ,all that land ,all that population,all those resources ,all that coast line na bado hamjiezi ..mko list ya least developed countries !!!kenya has only half of its land cultivatable ,less population ,less natural resources na tumewapa kivumbi for years na tutaendalea hivyo ...
 
kama bado mnajenga tatu then inafaa mfikirie mombasa mwanzo bfr mfananishe na nai....hamna ata clover leaf moja then mnajifananisha na nai?mtafikia lini southern bypass,outer ring,ngong road,eastern bypass,jkia to rironi,thika highway,western bypass....mombasa pekee ina dongo kundu,port reitz,na msa to mki highway zenye zinajengwa.feels gud to be back
Ndio maana nilikujibu barabara munazo lakin musijisahau within 3 years bado hujaelewa maana baada ya miaka mitatu dar kwenye barabara itakua moto ile mbayaa....hakuna city zenye beaches nzuri kama dar na unguja island hakuna
 
Maendeleo kama hakuna mbona tuseme kuna maendeleo ...you are a lazy nation ,all that land ,all that population,all those resources ,all that coast line na bado hamjiezi ..mko list ya least developed countries !!!kenya has only half of its land cultivatable ,less population ,less natural resources na tumewapa kivumbi for years na tutaendalea hivyo ...
Siunaona sasa analeta dar 90s hehehhehh usikariri narudia tena leo ni 2017 my friend sio ileeeeeeee unayowaza wewe na ukitaka kujua watanzania wameamka Leo angalia mount kilimanjaro dunia nzima inajua iko Tanzania nafkiri umenielewa hahahhahahhahah
 
Tuliza ..mombasa is coming up slowly!! In the future hata hii nairobi itashindwa na speed ya mombasa...
Is coming were hakuna worse city ovyo kabisa kama Mombasa njia zote mbovu yani mvurugano nani haijui mombasa wewe usinigundishe mm..mombasa 80% majengo ni ya zamani yamechoka yamechakaa au tulete picha hapa
 
Siunaona sasa analeta dar 90s hehehhehh usikariri narudia tena leo ni 2017 my friend sio ileeeeeeee unayowaza wewe na ukitaka kujua watanzania wameamka Leo angalia mount kilimanjaro dunia nzima inajua iko Tanzania nafkiri umenielewa hahahhahahhahah
Nini ninj dar imefanya tofauti ..hata mkiwa mnadevelop na 7% ..mmeshindwa kuiovertake kenya na 6%dvp ...tunaijua tanzania ya 2017 ...same policies ,same party(ccm), and same self protecting rules ...hakuna kitu mmebadilisha
 
Ndio maana nilikujibu barabara munazo lakin musijisahau within 3 years bado hujaelewa maana baada ya miaka mitatu dar kwenye barabara itakua moto ile mbayaa....hakuna city zenye beaches nzuri kama dar na unguja island hakuna
kwa hiyo io miaka mitatu zenye tunajenga pia zitapotea ndio zitapotea ili mtupiku au...in three years tym mtakua mnashindana na thika road wakati outering pekee inaisha this year...take a pill pal
 
Is coming were hakuna worse city ovyo kabisa kama Mombasa njia zote mbovu yani mvurugano nani haijui mombasa wewe usinigundishe mm..mombasa 80% majengo ni ya zamani yamechoka yamechakaa au tulete picha hapa
and yet iyo mwanza yenu haiingii ata robo ya msa...so nani kachoka zaidi
 
kwa hiyo io miaka mitatu zenye tunajenga pia zitapotea ndio zitapotea ili mtupiku au...in three years tym mtakua mnashindana na thika road wakati outering pekee inaisha this year...take a pill pal
Unajua nachokwambia musijisahau nakwaambieni take care simunaona 10 yrs dar ilivowafanya sasa na kwenye Barbara msijisahau hehehhhh mutakuja kulia kama munavolia leo
 
and yet iyo mwanza yenu haiingii ata robo ya msa...so nani kachoka zaidi
Haiingii twende battle Mwanza na mombasa twende battle my friend ctaki maneno mengi sana mm hua simzungumzaji sana tuanze battle mm na wewe
 
Unajua nachokwambia musijisahau nakwaambieni take care simunaona 10 yrs dar ilivowafanya sasa na kwenye Barbara msijisahau hehehhhh mutakuja kulia kama munavolia leo
nani analia...nyinyi ndio mnajifariji tu bure
 
Nini ninj dar imefanya tofauti ..hata mkiwa mnadevelop na 7% ..mmeshindwa kuiovertake kenya na 6%dvp ...tunaijua tanzania ya 2017 ...same policies ,same party(ccm), and same self protecting rules ...hakuna kitu mmebadilisha
Shilanga Nairobi, Kenya
8373619233_5186f74879_b.jpg
8374715136_9cdc0aaf33_b.jpg
8373541465_de4080acc3_b.jpg
8374618608_196bf25a2f_b.jpg
 
Back
Top Bottom