aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
Ngoja nizitafute nije nazokaka huyu kijana hapaswi kujibiwa kwa maneno,screenshot shot za matope ya Nairobi zinamtosha.acha Mimi ni deal naye.nitamtoa nje ya mstari mda si mrefu.
wanauvuruga huu Uzi makusudi ili moderaters waufute maana kiasi kikubwa, una l-expose makazi yao duni ya nairobi.