Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu unachukuliaje Terminal mpya, kubwa na ya Kisasa ya JNIA? Natumaini umeona picha zake, je nini maoni yako?
 
Reli haiwez jengwa miaka 9 acha story Za ngugi wa thiong'o ...right on next yr,Mark my word
 
Uahaha gari moshi 😀😀😀😀
Subiri mwakani ushuhudie phase 1 the modern electric train in africa ndio maana hatutaki hii thread ife tunatana iwe hai mpaka tumalizane vzr
wacha nami pia nikupe hii GIF ya Idi Amin dada ilionifurahisha sana...unanichekesha na matamshi yako haya ya jokes😀😀😀. tz railway is just a white elephant...nimekwambia mizigo ya rwanda hata ya nairobi tu inaizidi😀..afadhali gari moshi inayopeleka mizigo Uganda kuliko tembo mweupe
 
Not ranked by UN World bank or IMF....thank you
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ingekuwa bora kama ungeleta source kuthibitisha madai yako. Until that happens, hizi zitabaki tu story za vijiweni za kutuliza roho
 
GDP ingesaidia kuimprove kibera na kuacha kutegemea kula githeri na unga wa kupimiwa supermarket na kupunguza muggers kule CBD ingekuwa afadhali lakin km GDP imepikwa na kina uhuruto kupata loan ya mchina imekula kwenu

kisingizio ya losers ni sawa na yako................tunakuja charity work in mwanza again .......keep tight.Omba omba wote wa Tanzania bado wakaribishwa katika streets zetu na hustlers wale pia gikombaa wakaribishwa......We are the big brother in East Africa and we don't need petty fights with minions like Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…