Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

babkubwa...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

haha hujaelewa. tuusan amesema 'ushamba' ulimuisha 2011 contrary na venye ulikuwa unajaribu kutudanganya hapa eti wabongo hula biryani kila siku
 
I gladly accept the new Name I will also have to baptise you with a new one Kadada which basically means a small girl. We are even now aren't we?
Hahaha alianza kuita watu majina yake nkawa namchek tu...leo yeye anaanza catch feelings [emoji23] ....feelings peleka labor
kilaza inaonekana jina la mwasiti limefanya u-catch mafeelings... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani kuna hizi jamaa za failed state zinaforce diamond kuwa mkenya,,kwani si nasikia ruto nae alitoa wimbo unaitwa nyege ni kunyegeshana,,why can't you support your artist ruto to become super artist like diamond???
 
Artist wakikenya hawana talent hua wanaimba upuuzi tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mara ya kwanza kula biryan ilikua mwaka 2011 alinipeleka bro pale Ilala boma kwa waarabu ,dude lilikua poa sana na kitu cha supu ya mbuzi ....Moshi sikuwah liona kabla
Kabla ule biryani ulikuwa umetoka Kule wanakula panya na mbwa? Ni swali tu Susana usikule mori.
 
Nyangau jobless katika ubora wako
 
haha hujaelewa. tuusan amesema 'ushamba' ulimuisha 2011 contrary na venye ulikuwa unajaribu kutudanganya hapa eti wabongo hula biryani kila siku
endelea kula githeri.... achana na biryani. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…