tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Tunakula pia pamoja na mbwa. ..paka hadi simba tunatafunaUmesahau panya kwa nini ama unaskia aibu?
Tunakula pia pamoja na mbwa. ..paka hadi simba tunatafunaUmesahau panya kwa nini ama unaskia aibu?
Nyangau jobless katika ubora wako
Tuliagana uniwekee Picha ukatoroka? Sijasahau buda.Njaa hiyo inawafanya mnakula mizoga iliyooza, truly failed state
Why Kenya could be among failed states
Tunakula pia pamoja na mbwa. ..paka hadi simba tunatafunaUmesahau panya kwa nini ama unaskia aibu?
Mbona hujaniwekea picha za choo cha Kibera?Tuliagana uniwekee Picha ukatoroka? Sijasahau buda.
Sawa endeleeni kujifundisha kiingereza ili muendelee kuolewa na wazungu![]()
![]()
![]()

Which African Countries Have the Most Cars on the Road?inaonekana huko kenya it's something very rare kwa myouth kumiliki gari.![]()
![]()
Rudi nyuma kwa huu Uzi siku ya ijumaa utapata Picha unayotaka...nilikuwekea ukatoroka hata nashtuka kukuona hapa bila ahadi ulioniahidi.Mbona hujaniwekea picha za choo cha Kibera?
Yummy yummy food.hiki ndio chakula takataka wakenya wanakula.
kule kwao kinaitwa githeri huku kwetu tunaita makande.
ni chakula cha hadhi ya chini sana miongoni mwa familia nyingi za kitz pia ni chakula cha kutegemewa sana miongoni mwa familia nyingi masikini za kikenya.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 718577View attachment 718578View attachment 718579View attachment 718580View attachment 718581
Vipi kuhusu chakula?,
mi huwa napenda tu vile hessy ana deal na majobless mnao fanya ukora hapo nairobi.A jobless Kenyan is better than a working Tanzanian

Mnachemsha au mnachoma?Tunakula pia pamoja na mbwa. ..paka hadi simba tunatafuna
Uliweka picha ya choo cha ikulu yenu, mimi niliomba choo cha KiberaRudi nyuma kwa huu Uzi siku ya ijumaa utapata Picha unayotaka...nilikuwekea ukatoroka hata nashtuka kukuona hapa bila ahadi ulioniahidi.
Uahahhaha😀😀😀😀 so umeamua kuangua kilio hadharani😛😛😛😛Chauffeur wa Muindi Chunga sana usije kamwaga unga katika flossing ndogo ndogo.
Kua serious bro usipoteze sifa yako bureA jobless Kenyan is better than a working Tanzanian
Najua imekuuma hadi ukasahau ahadi ya Picha. Anyway with a population of 40m people and a car for every 30 people then am right to say they are food sufficient more than your people 55million weak with a car to people ratio of 1: 47...yani tunawashinda kila kitu...Bow to your big Brother KENYA. Povu Ruksaaaaa.Vipi kuhusu chakula?,
Weka logbook tuamini wewe sio Driver wa Muindi boss.Uahahhaha😀😀😀😀 so umeamua kuangua kilio hadharani😛😛😛😛
Uhahaha gari yangu mm alaf log ya nn😀😀Weka logbook tuamini wewe sio Driver wa Muindi boss.