Kwahiyo ninyi mnajifunza kizungu ili muweze kuolewa na wazungu sio?, ngoja na sisi tujifunze ili tuweze kuwaoa japo tuwape chakula kama wake zetu
we mbulula US lugha inayotumika sio kiingereza tu kuna kireno na kihispaniola wanazungumza walatino na wamexico acha ushamba wa kiingereza
diamond hajui kuzungumza kingereza kwa ufasaha lakini anamiliki nyumba SA, rwanda, kenya na pia hivi karibuni mmemzawadia ardhi.
hapo nairobi kuna vijana wanazungumza kingereza kwa ufasaha lakini ni majobless. wamebaki kupiga ma-round cbd na kufanya ukora.
endelea kupiga porojo kuhusu kingereza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binti Mwasiti pitia hii japo itakuhuma ila naomba uvumilieUngesema kuwa sasa hamna ujenzi unaendelea ila mnakadiria kuanzisha ujenzi Zuma na World Bank watakapo toa mikopo kuwa ujenzi huu ila kuwa sasa mko katika harakati ya kuwafurashisha Wabongolalas.
Pole sanaSiku ya ku launch hiyo electric SGR Magufooli atatangaza tu hakuna cha stima wakati treni zinafanya kazi. Jichocheni tu na hizo Megawatts kidogo mnazalisha.
US ni nani?? Baba au mama yetu???Watanzania wataenda US kuzungumza lugha gani na hawajui kizungu
kama unapatwa sana na hasira tunapotaja jina la diamond platnumz , tafuta transformer yoyote ya kenya power ukumbatie. ukinasiana tutakuja "kukubandua". [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii shamba ya Diiamond mtatuimbia hadi karne iishe.
US ni nani?? Baba au mama yetu???
kama unapatwa sana na hasira tunapotaja jina la diamond platnumz , tafuta transformer yoyote ya kenya power ukumbatie. ukinasiana tutakuja "kukubandua". [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mafeelings pelekea mchina uhuruto tano tenaSiku ya ku launch hiyo electric SGR Magufooli atatangaza hakuna cha stima wakati treni zinafanya kazi. Jichocheni tu na hizo Megawatts kidogo mnazalisha.
watz tunapata faraja sana kuhusu diamond platnumz kupata title deed katika nchi ambayo majority ya raia hawana ardhi. viva tanzania... [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]Hatuna hasira na kijana wa Tandale. Hata mamaye pia hatuna shida naye. Very soon atajoin wasanii wenzenu ambao hupotelea Nairobi
Diamond's mother was pretty much excited. She literally carried the title deed everywhere she went, but we understand. Land in Kenya is a sign of wealth, and The Boy from Tandale did not miss that train.
hiimijamaa huenda hata tende ikawa inajua zinauzwa wakat wa mfungo tu wakat watu tunatumia daily kutunza afyathis delicious food is called biryani, very common among the people who live along the coast of indian ocean in tanzania and kenya. it's eaten daily.
View attachment 718493
NB
kuna mkenya mmoja mshamba alidai biryani huliwa wakati wa fasting(mfungo wa ramadhani).
wakenya ni washamba wa kila kitu mpaka vyakula. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hicho kiswahili kibovu cha stima mlikitolea wapi majirani usimuone kobe kainama ujue anatunga sheria hizo megawatt tunazozalisha tutaanza kuuza mpaka nje we komaa kwa ziko kidogo mutajibeba wakat wa uzinduziSiku ya ku launch hiyo electric SGR Magufooli atatangaza hakuna cha stima wakati treni zinafanya kazi. Jichocheni tu na hizo Megawatts kidogo mnazalisha.
wakenya wa bara ni washamba sana.hiimijamaa huenda hata tende ikawa inajua zinauzwa wakat wa mfungo tu wakat watu tunatumia daily kutunza afya
watz tunapata faraja sana kuhusu diamond platnumz kupata title deed katika nchi ambayo majority ya raia hawana ardhi. viva tanzania... [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
this delicious food is called biryani, very common among the people who live along the coast of indian ocean in tanzania and kenya. it's eaten daily.
View attachment 718493
NB
kuna mkenya mmoja mshamba alidai biryani huliwa wakati wa fasting(mfungo wa ramadhani).
wakenya ni washamba wa kila kitu mpaka vyakula. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asante kwa povu.Buda, only about 10 % of Kenyans are landless. Hii majority labda ni Kingereza huelewi. Majority of Kenyans >90 % own land.