Battle ipo Mombasa vs Dar es Salaam. Which is the biggest port in East Africa? jibu ni Mombasa usitokwe povu.Huyo anakuja kuchukua pesa safaricom haikumleta kenya bure anakuja kubeba alete nyumban aendelee kuekeza
Biggest port, SGR and Superhighways in Mombasa are absent in Dar es Salaam niambie nimedanganya buda.Mombasa wako na dwarf buildings pekee haitoshi kitu apo
Mawazo uchwara unatafuta data kijanja janja eeh. ..Tz limeshindwa kuikomboa bombardier $300m sembuse SGR ya $7b? Naskia bei ya Saruji imepanda Tz from pesa za madafu 15000 to 19000 kiss na maana ukosefu wa umeme...Hii inatokea kuwa Nchi ambayo inanuia kujenga bullet train ikiwa na umeme 1350MW. Hii Nchi ni vibonzo sana.
By the way,naskia nairobi inataka kutengeneza kinu cha kufua umeme,maana maji yanapatikana vizuti CBD pale mpaka mnafloat.
By the way,naskia nairobi inataka kutengeneza kinu cha kufua umeme,maana maji yanapatikana vizuti CBD pale mpaka mnafloat.
Unaona sasa ulivo huna akili settler wa britain unasema mkenya???? Ndio maana hua tunakuambieni ardhi kenya imeshikwa na settlers pamoja na politiciansLol wengine wamemilikwa na Omani Arabs na hatulalamiki
Kama hamuwafukuzi maana yake mnawapenda kwanini msiwape uraia???
Hio port imeshindwa hata kuwajengea daraja watu wa likoni inafaida gani sasa ????Battle ipo Mombasa vs Dar es Salaam. Which is the biggest port in East Africa? jibu ni Mombasa usitokwe povu.
Hiyo hatujashindwa kuikomboa bali kuna kasumba fulani pale chini ya kapeti.Tz limeshindwa kuikomboa bombardier $300m sembuse SGR ya $7b?
pesa gani analeta kwenyu?. [emoji23] [emoji23]He brings money to Us, we are lucky to you as a Tanzanian juu sampuli yako ni omba omba sio kama diamond.
Hatupotezi pesa Za watanzania kwenye kesi za kuundwa ndio maana tunataka kesi mpaka imalizike vzr na ukumbeke july 4 aircrafts ZinashukaTz limeshindwa kuikomboa bombardier $300m sembuse SGR ya $7b? Naskia bei ya Saruji imepanda Tz from pesa za madafu 15000 to 19000 kiss na maana ukosefu wa umeme...Hii inatokea kuwa Nchi ambayo inanuia kujenga bullet train ikiwa na umeme 1350MW. Hii Nchi ni vibonzo sana.
Why Kenya could be among failed statesTz limeshindwa kuikomboa bombardier $300m sembuse SGR ya $7b? Naskia bei ya Saruji imepanda Tz from pesa za madafu 15000 to 19000 kiss na maana ukosefu wa umeme...Hii inatokea kuwa Nchi ambayo inanuia kujenga bullet train ikiwa na umeme 1350MW. Hii Nchi ni vibonzo sana.
Tanzania fukara teh teh teh.jikune tu.Hatuwafukuzi maana tunahurumia Tanzania maskini angalau wapate hizo hela wakaitajirishe Tanzania fukara
Mimi sijasema mkatae majanga,nimesema mmeona fulsa katika maji mengi yanayopatikana katika mkondo wake pale CBD.Tuna float kwa raha zetu,sisi si wajinga tukatae majanga yetu,tunakubali ndio tuperfect
Why Kenya could be among failed statesHatuwafukuzi maana tunahurumia Tanzania maskini angalau wapate hizo hela wakaitajirishe Tanzania fukara
Muhimu hapo ni kwamba tumeweza kulipia $3.1B toka katika mapato yetu, ninyi hata kupata $500M hamuwezi kila siku kukopa, truly failed state
Sehemu yenye pesa do attracts investors not beggars, omba omba huenda kwenye nchi ambayo ni ombaomba, Tanzania attracts investors from all over, including many Kenyans investors.
Diamond will never be Kenyan hata dunia iumbwe upya,,nyie nae si mnae jua Kali?? Komaeni na hao wasanii wenu ambao ngoma zao zinahiti mwisho kibera
kilaza siku zote huwa mtu msahaulifu.Lol......mtatusi tu lakini soon we shall buy the cheap ass 40 billion dollar country of tanganyika
Eldoret tycoon acquires Tanzania tea firms for Sh6 billion
Uahaha wapeni uraia sasa😀😀😀
Mimi sijasema mkatae majanga,nimesema mmeona fulsa katika maji mengi yanayopatikana katika mkondo wake pale CBD.