Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

harminize,diamondi,mavoko wote wako kenya kurecord ngomana kujinyc.......mbosso amesema alikua akae siku tatu but ameextend siku 10.View attachment 717181
lazima waje kenya cos wakenya ni washamba wa music entertainment.

mna attend kwa wingi kwenye show za wasanii wa WCB... sisi huku tumeshauzoea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
lazima waje kenya cos wakenya ni washamba wa music entertainment.

mna attend kwa wingi kwenye show za wasanii wa WCB... sisi huku tumeshauzoea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanakuja kutafta pesa...mbosso mwenyewe hataki kurudi LDC
 
tanzania tumebarikiwa kuwa na chakula kingi. hatuna njaa.

in tanzania a single plate of biryani can only cost you tsh3000 (ksh134.85).



NB
the same food (biryani) in kenya especially nairobi can cost you ksh500(tsh11123.12). you can only find it in five star hotels or few restaurants that sell coast food.

halafu wakenya wengi wa bara ni washamba sana, sidhani kama wanaelewa kitu kuhusu "biryani". wengi wamezoea kula githeri(makande).
 
Yani wakenya kungekua na uwezekano wakudanganya dunia kua diamond ni mkenya wangeshadanganya zamani yani wanapenda kila kizuri kiwe chao😀😀😀😀😀😀
hata mimi nime notice...acha nifanye uchunguzi twitter. lazima nitapata tweet moja ya mkenya akidai diamond ni mkenya.

shida ya kenya wana uhaba wa vijana wenye real talent ya mziki.

wanamziki wao wote wanaimba ujinga.
hivi kweli mtu unaweza kwenda kulipa kiingilio kwenye show ya mwanamziki anaimba "ruka juu... banjuka tu?". hapana.

ndio maana promoters wao and event organizers wanapenda kuwashirikisha wanamziki wa tz cos wanasaidia sana ku attract mashabiki kwenye matamasha yao na hatimaye kupata pesa nyingi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila simba anatengenez pesa nyingi sana halali yake afanye makubwa tanzania
 


machinations and innuendos nayo umebobea......funny enough sauti sol won mtv mama awards best group in Africa and no Tanzanian won anything.Apart from all this diamond drama there is no other Tanzanian musician who can pull a crowd in Kenya.Vile tu mnavyokimbilia south Africa kushoot videos ndio mnavyokimbilia Kenya coz mnajua wakenya wana pesa mingi na show ya Nairobi is way more lucrative than that in the rag tag Daresalaam
 
Unajua wanavyopima???
 
Nizo ni kota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…