it doesn't matter even xi jinping and vladimir putin can't speak english fluently and they're always traveling with english translators when going for a state visit outside their countries.
NB:
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 715287
Mambo yamewiva😀😀😀
kwani anaogopa kuenda LDC😀😀😀 Mnatesa kweliDiamond kumleta RickRoss Kenya, We're Running East Africa[emoji23][emoji23] Tunatafuna Pesa za Kenya then we RUNView attachment 715774
Sasa which is which? Mlisema huko kwenu hamuishi kwenye majumba ya kupangishwa yaani flats tena sasa ndio hii unatunyesha. Ni vizuri umeweka wazi kuwa si ati hampendi flats ni vile hamwezi jijengea. Only your national housing corporation can afford to build a few of these.
yaani nyinyi hakuna kitu tutafanya mkose kuiga. Sasa ati juu tulijenga new terminals na nyinyi sasa mnajenga terminal yenu haha. Tukijenga reli mnapambana mpaka mjenge yenu pia. Are you sure mtawezana na hizi mbio za wazito? I know for sure after a few years mtakuwa mshatii. You are overstretching, mtapasuka msamba
Hiyo picha dhumuni ilikuwa kuonesha mji ulivyojengeka kwa nyuma.
Flats au kota zipo toka kabla ya uhuru, nyingi zilikuwa ni za wafanyakazi wa mashirika ya umma. Kwa Tanzania flats/apartments huwa ni za kujishikizia wakati mtu anaanza maisha kabla hajajenga "kibanda" chake. Flats hazipendwi sana Tanzania hata kama ni nzuri kiasi gani, heshima kwa jamii yetu huja unapokuwa umejenga kibanda chako.
Hatujaiga mtu, hiyo terminal mpya ilikuwa kwenye mpango wa kujengwa siku nyingi kutokana na kuongezeko la wasafiri. Terminal 2 ilijengwa 1984 na wafaransa wakati demand haikuwa kubwa kama sasa.
DOUALA iko wapi brathe 😀😀 i need whatever you are smoking.
Si ati mambo na heshima. Ni vile mko bado sana. Bado hamjafikia kiwango. Yaani unanunua nyumba yako 2 or 3 bedrooms 10th floor ama hata 20th na hapo ni kwako milele. Thats what happens in developed economies. Its common in cities such as New York and London. Nyinyi bado sana jipeni miaka kadhaa.
Na reli pia ilikuwa kwenye mpangilio ama ilikuja baada ya kuskia Kenya inatamba na reli mpya?
Povu la nini sasa [emoji23] [emoji23] Nimekwambia agiza Coffee nipo kwenye ndege nakuja kukulipia sawaeeNa jidanganya na nn fala wewe
Naona Tecno imeshakua dry unakazi ya kureply kila comments kama secretaryHuyo Sergeant at arms naye analipwa pesa ngapi. Hiyo ni sura ya shida anakaa mtu wa youth service
Diamond eti internationalkwani anaogopa kuenda LDC😀😀😀 Mnatesa kweli
Ni kenya pekee askari anakuwa mrembo mrembo.Huyo Sergeant at arms naye analipwa pesa ngapi. Hiyo ni sura ya shida anakaa mtu wa youth service
Badala amlete Tanzania anamleta Kenya kwenye pesa?Diamond kumleta RickRoss Kenya, We're Running East Africa[emoji23][emoji23] Tunatafuna Pesa za Kenya then we RUNView attachment 715774
Kumbe we hauna akili kiasi hiki...!!!a 950 metre bridge has collapsed in miami killing six people.........tanzanians please celebrate a developed country having a bridge collapsing the way you normally do
Kumbe we hauna akili kiasi hiki...!!!
Sasa nafanya "Reductionist Fallacy"
Ku argue with Kenyans ni kupoteza muda kwa kweli
ndo usifanye turn back, mwishowe mshikwa na ngozi ndo mla nyamaspare me the philosophical nonsense......that's what you guys normally do.