Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"tuta'
 
Hii ndio kitu inapambanishwa na Nairobi! Nkt. Halafu utasikia mtu mzima na akili zake akisema wanamiliki dream houses in Dar. Dunia simama nishuke...!
Ni hii hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe lia hakuna mtu atakusaidia kilio hehehe kama uliota hii ni ile tz ya 90 umechelewa sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ longest in africa my ass
 
Labda obama.
 
Mngeanza kwa kupaka zile kofia za nyumba zenu zenye kutu rangi kwanza. Jiji nzima imejaa nyumba za mabati zenye kutu alafu mnasema ni city!
Unashangaa bati kuwa na kutu hukusoma chemistry???au ulienda shule kujifunza kiingereza???
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kilio chako naskia na huku
ngeli ya TUTA as usualπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
longest in africa πŸ˜€
U wish ikuwe tuta,kama the pinnacle mwaka wa nne huu.
 
Hii ndio kitu inapambanishwa na Nairobi! Nkt. Halafu utasikia mtu mzima na akili zake akisema wanamiliki dream houses in Dar. Dunia simama nishuke...!
Nairobi now weka ligi moja na kampala huko,is no more to compete with dsm.

Kama huelewi endelea kukomaa.
 
Mngeanza kwa kupaka zile kofia za nyumba zenu zenye kutu rangi kwanza. Jiji nzima imejaa nyumba za mabati zenye kutu alafu mnasema ni city!
$12B vs $9B, utajua ni mji upi wenye majengo mengi ya kisasa, Nairobi ikifikisha $12B, itakua kama Dar, without slums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…