Uzuri dunia sikuhiz haina unafiki ukifanya poa ni umefanya poa tu uwe ldc uwe D.C. usipofanya nobody will bother, endelea kuota na matatu yako apo punguaniI will tell you that its one hell of a joke...Tz being an LDC will get such I mean you've surpassed your peers with a mega project at LDC'S STANDARDS. Mmewashinda kina Afganistan, Malawi, Uganda but that does not mean you are above Kenya,SA or Nigeria😛😛..kudos anyway if that will make you sleep.
Kitambo sana enzi za celtelTanzania's best
Ila magu kiboko aisee😀😀😀
Kwani mkuu vingine si tuna puuza tu humu.imagine kenya mtu mwenye uwezo wa kujenga nyumba kama hiyo amepanga nyumba ya mwanaume mwenzie,na anajisikia fahari kukaa ghotofani kama kinda la kunguru.Niliwaambia jana boko,bunju na maeneo kibao ni nyumba za kibabe tu hakuna masihara wanasema ni propaganda...Haha sasa boko iyo waonyeshe nyumba ya kutolea kasoro
Iyo growth muda sio mwingi we gonna say rip ldcmeanwhile.. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 712623
Hivi ndivo city public transport inavotakiwa iwe
Watakwmbia dar haina infrastructure yani wakenya bana😀😀😀😀Hivi ndivo city public transport inavotakiwa iwe
Very fantastic view
wachaaaaaaaa [emoji122] [emoji122]
Nairobi ni kubovu .....sana yaani ukitembea huwezi amini ni pachafu[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani hizi picha mlizopost toka page one ni mombasa pekee,au kuna picha za nai hamjapost bado tuwaitishe???
Kama nai ndio hii mliipost humu buda sorry.sikutegemea nai ni upuuzi hivi,kumbe ni kweli mna kelele bureee.
Hawawezi weka.....sababu location za nairobi ni mbovu .....hazivutii[emoji2] [emoji2] [emoji2]zanzibar raha.
thanks eric omond for coming.karibu tena and when you're here, please don't forget to put a location tag in your instagram photos. we real appreciate you for that.
View attachment 711427View attachment 711428View attachment 711429View attachment 711430View attachment 711431View attachment 711432View attachment 711433View attachment 711434View attachment 711435View attachment 711436View attachment 711437View attachment 711438
NB:
comrades hivi mme notice kwamba celebrities wetu wakubwa diamond platnumz na ali kiba wanapozuru kenya huwa hawajisumbui kuweka location tag kwa picha zao wanazo upload instagram na fb?.
huo ndio ukweli na ukitaka kuthibitisha hili tembelea instagram account ya diamond platnumz. he is in kenya as i'm writing this but you won't see any location tag in his photos that shows he is in kenya.
ali kiba is also doing the same thing,he never put a location tag when he is in kenya.
nadhani wanaidharau sana kenya hasa wakikumbuka zile picha za slums.[emoji23] [emoji23]
kwa kawaida huwa inaleta raha sana pale celebrity mkubwa toka taifa lingine anapotembelea nchi yako na kuweka location tag. inadhihirisha ni kiasi gani anaheshimu nchi yako au amefarijika na good hospitality ya eneo husika.
povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama foot driver wakichina enzi za juang pingVijana hawana ajira
View attachment 711473
Vijengo vya ng'ombe[emoji2] [emoji2] [emoji2]I need to elimisha people here, Kenya can never be Tz.. We have never had anything in common. Trust me, na Wala hatutaki kufanana na Tz..We are way different,apa tutabishana upuzi,ukweli twaujua. Kenya is a King pin na si hiari.!! You claim we have slums, hatukatai.. For you who live in denial bakini kwenu.!!.Mtatusoma namba,..We are the GATEWAY to The Eastern and Central Africa..Vilevile, apa ni NairobiView attachment 711477View attachment 711478View attachment 711479
Atakuwa kibaka huyo wa naiMbona dogo upo nje ya reli kabisa?
Umeigia siyo muda mrefu. Pumua kidogo kwanza
View attachment 711506