IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
haha who owns NMBgo on dreaming😀😀😀😀😀😀
haha who owns NMBgo on dreaming😀😀😀😀😀😀
Click on the pictureYan mlivyoshindwa ni adi mnatuma picha zisizo za Dar ili kuichafua dsm
Living in denial is one of the reasons why you are an ldc 50 years down the line. I belive umekuwa ukifatilia thread, mmeleta picha mingi sana za slums na kiluziita kibera bila evidence hapo ni kibera au Nairobi. Uzuri wetu ni kwamba tunakubali kibera ipo na inazidi kuboreshwa. Tatizo lenu ni kwamba hamtaki kukubali Dar imejaa changaduo kila mahali Ilhali ukiingia google maps hata saa hii utaona kibera-like houses in every coner of dar. Kubalini matatizo yenu na muanze kuzishugulukia. Kuleta picha za kibera haitasaidia Dar kuipiku Nairobi katika ubora wa maeneo ya makaziJapo inafahamika kwamba uwezo wako wa kufikiria kwa ujumla ni mdogo sana, lakini hatutegemea katika jambo dogo kama hili ushindwe kujiuliza japo swali dogo, sasa nani atakuamini kwa kusema kwamba hiyo ni picha ya Dar?, lazima uambatanishe na ushahidi, kama vile land marks za mji wa Dar, au screenshot iliyoambatana na maelezo ya mtu mwengine aliyepiga hiyo picha, picha zote za Kibera zinazowekwa hapa, zinaambatana na picha na maelezo ya watu waliozipiga na kuzipost kwenye page zao za tweeter, hasa wazungu wanaotembelea Kibera, onyesha picha za Kibera ambazo tumeziweka bila ushahidi wowote.
Nyeri inachapa hata ile capital city yao dodoma
Living in denial is one of the reasons why you are an ldc 50 years down the line. I belive umekuwa ukifatilia thread, mmeleta picha mingi sana za slums na kiluziita kibera bila evidence hapo ni kibera au Nairobi. Uzuri wetu ni kwamba tunakubali kibera ipo na inazidi kuboreshwa. Tatizo lenu ni kwamba hamtaki kukubali Dar imejaa changaduo kila mahali Ilhali ukiingia google maps hata saa hii utaona kibera-like houses in every coner of dar. Kubalini matatizo yenu na muanze kuzishugulukia. Kuleta picha za kibera haitasaidia Dar kuipiku Nairobi katika ubora wa maeneo ya makazi
Mimi huwa nacheka sana wanapoleta picha za kibera and other slums in Nairobi. they forget that Kibera is a very small area in Nairobi. Wanasahau kwamba dar yao is Kibera raised to power ten squared. A true case of the pot callling kettle blacklol....they deny what is clearly visible and proven
Hauoni the famous landmarks comprising the Slum + BRT? Hapo bila shaka ni Dar slum.Sasa nn kinachothibitisha kua apo Ni kisumu?Au Eldoret
Hiyo ni mojawapo ya Suburbs za Dar slum...pole kwa kukupa ukweli hata kama unauma.Yan mlivyoshindwa ni adi mnatuma picha zisizo za Dar ili kuichafua dsm
CNN calls Kenya a ‘hotbed of terror’ | IOL NewsHauoni the famous landmarks comprising the Slum + BRT? Hapo bila shaka ni Dar slum.

Pole mamaa usilie...
BRT kwa mara ya kwanza ulisikia mwaka gani?, hivi ulishawahi ona BRT maishani mwako?, usichanganye na old gari moshi, hutoona BRT wala hutoijua hadi uje Bongo, ndiyo sababu unasema kuna BRT hapo, kama hujawahi ona BRT, utaijulia wapi?Hauoni the famous landmarks comprising the Slum + BRT? Hapo bila shaka ni Dar slum.
uliacha story ya njaa mzae
Tunajenga both 2 phase kwa pamoja hatusubiri pesa za mikopo😀😀😀😀Phase 1 imefika wapi?😀😀😀😀
Keep on dreaming 😀😀😀Bado wanapigana na simba kule msituni wakitafuta njia ya reli
Jaribu uone sasa😀😀😀😀Nyeri inachapa hata ile capital city yao dodoma
Leo umejiabisha sana unaleta profit ya KCB 19 milllion na crdb profit yake ni 2 billion kes...unajiabisha..all top 10 banks in kenya are more profitable than crdb and your netherlands bank NMBTunajenga both 2 phase kwa pamoja hatusubiri pesa za mikopo😀😀😀😀
Kama ya kwenu mlijenga kwa mwaka mmoja hapo sawa